Valentine imekaribia, ungependa member gani awe valentine wako?

Tatizo la mashirima pale kwake kuna majamaa yalikua yanakuja kulewa yamepaki magari makali na mashirima anacheka nao nikaona nikae pembeni mapafu ya kushindana sina😅
Sasa kucheka na wateja nayo ni kiu ya kukusumbua shindii🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Shindii kamoyo kangu kadogo 🤣 na mashirima nilimwelewa nikaona ka moyo katakuja pasuka nikaona nibadili na pa kunywea pombe😅
 
Sasa mashirima asipocheka na wateja unataka akale polisi? Hiyo ni sehemu ya biashara. Rudi tu amekumiss.
 
Inabidi nikirudi nimfungulie mashirima sehemu ya kuuza kitimoto , pale sipataki tena wanywa mbege wanamvizia mno😅
 
🤣🤣🤣🤣 kwahiyo umeamua na biashara umbadilishie kabisa!!
Sasa kitimoto si inashuka vizuri na mbege?
 
Shindii tatizo la mbege wakishalewa wanamsumbua mashirima wangu🤣
 
Back
Top Bottom