Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Yani wewe mimi niko busy kukupigia pasi kwa binti wa zamani, kumbe wewe uko busy kumnyapia dr Mariposa 😹😹😹Subiri habari itv saa 2 kamili usiku, nataka nimtangaze huko.. nitamuanzia kwenye
Habari za kitaifa..... kisha
Habari za kimataifa ...... kisha
Biashara....... halafu
Ni mwendo wa burudani na michezo
Huku atotoo kanikalia kooni sikulindi..!! 😥😹