Valentine imekaribia, ungependa member gani awe valentine wako?

Valentine imekaribia, ungependa member gani awe valentine wako?

Bi
Februari 14 sio mbali sana, kama ungepata nafasi ya kumchagua mtu wa kuwa naye hiyo siku ya valentine ila kwa sharti awe member wa Jamii Forums, je?

Ungemchagua nani na ungependa kwenda naye wapi kurelax.
Binti wa Zamani
 
Kuku robo, chips kavu, kuwe na mayonise, tamarind na udambwi udambwi but not salad
Alafu badae ninunuliwe red wine ninywe nikiwa natizama maji.
Aaah bajet nzuri kabisa, hata 50k humalizi....14 ferb ifike chap chap
 
Sitaji jina ila awe na sifa hizi tako kubwa,mweupe

Over
 
Watu we weeeeeee... my crush huyu hapa anajaa kwenye mfumo..
Kifuatacho wajeda watafute pakuweka kambi zao..
Kisha raia mhame kwa hiari yenu.. kabla sijacharuka.
Na kigamboni nitaibadili jina itaitwa Dr. Mariposa
Picha linaanza hii sauti yako ndio inakuwa ringtone yangu..
Na iphone waiongeze hii katika milio yao

Nakala ya barua ifike ikulu na nyingine iwafikie google map waanze mchakato wa kubadili jina..
Nakala kwa apple, wabadili ringtone yao
Dr. Mariposa naomba rudia sijasikia nimepitwa kipenzi 😍
 
Back
Top Bottom