Umenitag halafu sikuwepo bana em rudia dr 😍Mbavu zangu, wewe jimalize tu ila hadi raia watoke na wajeda wao ndio utakua my valentine🎊🥳💐
Nimeona umefuta ulimtag Poker 😹😹Sharekebisha mama😅hebu tulia🫴🏾
Nimerudia tena hii comment nimecheka sana 😹😹😹Tumuache tu nikimtaja nazidi kupata uchungu, nimewekeza mda wangu mwingi kumbe hata sio chochote 🥲
We hebu futa hii comment yako si tushayamaliza lamo mbuzi ww😂Nimerudia tena hii comment nimecheka sana 😹😹😹
Kweli min me huna bahati mshkaji wangu 🤣
Bora ulewe tu mapenzi waachie Smart na masuria yake..!!
Yani hili ni zaidi ya fumanizi 😹😹😹Hebu niache we lamo😂😂😂 kwani kila mtu kataja wake hapo juu😌
Acha kutonesha vidonda hatupo serious humu unajua🤓Yani hili ni zaidi ya fumanizi 😹😹😹
Nimecheka mpaka machozi lol!
Hii inaitwa unayempenda kampenda mwingine 😹😹😹
Mtaniua mbavu zangu leo 🤣
Umetisha sana mwali wangu yani wewe umepiga tobo afu ukabeba mpira mpaka golini ukajifunga 😹😹😹We hebu futa hii comment yako si tushayamaliza lamo mbuzi ww😂
😹😹😹😹Acha kutonesha vidonda hatupo serious humu unajua🤓
Min kanichekesha sana eti kajipanga kukutaja kumbe wee kitambo ushataja wako khaaaa..!! 😹😹😹😹Umbeaaa shogaangu😂 hatupo serious bana ni utani tu, tuko vere na kipenzi changu chaulevi! Usimseme hana bahati kisa watu wachache tu naww😏
Kwahiyo lamomy unajuaje alikuwa ananitaja mimi😁 na huna kaba ata kusema umuite mtu pembeni huwezi ona sasa hapa akija nianze tena kuomba misamaha🤦🏽♀️Min kanichekesha sana eti kajipanga kukutaja kumbe wee kitambo ushataja wako khaaaa..!! 😹😹😹😹
Unajua watu wapweke humu, ukionyesha kaupendo hata kamchongo anafall kweli..!!
Halafu wewe unaleta zako watu washaona pa kupoa… 😹
Nililijua hilo mapema lazima angekutaja na wewe ndo mtajwa 😹😹Kwahiyo lamomy unajuaje alikuwa ananitaja mimi😁 na huna kaba ata kusema umuite mtu pembeni huwezi ona sasa hapa akija nianze tena kuomba misamaha🤦🏽♀️
Huu ni mshahara wa bure kabisa unapewa.. itabidi nami uniganjie kidogoAtoto si unamuona mwenyewe maka anachofanya..!!
Mi baadaye naomba mshahara wangu usikatwe tu..!! 😹😹😹
Subiri habari itv saa 2 kamili usiku, nataka nimtangaze huko.. nitamuanzia kwenyeDr. Mariposa naomba rudia sijasikia nimepitwa kipenzi 😍
Poleee unaakaje mbali na simu namna hiyo na unajua JF muda wowote watu wanakinukisha😁Umenitag halafu sikuwepo bana em rudia dr 😍
Uwinga huu wa kutafuta maokoto unanifanya nakosa mambo mazuri rudia basi kipenzi 😹Poleee unaakaje mbali na simu namna hiyo na unajua JF muda wowote watu wanakinukisha😁