min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Tumuache tu nikimtaja nazidi kupata uchungu, nimewekeza mda wangu mwingi kumbe hata sio chochote 🥲Nani huyoo nikamfokee asikuumize tena😒😃
Tumuache tu nikimtaja nazidi kupata uchungu, nimewekeza mda wangu mwingi kumbe hata sio chochote 🥲Nani huyoo nikamfokee asikuumize tena😒😃
Tunaenda hivyo hivyo, Wala usibadili jinsi ya kuongea.Kabisa!!!! Ila itabidi nijifunze kuongea ki slay queen ili tuendane.
Kwani mjusi ni wa kike?😂😂😂😂 hivi mie nimeishiwa wanaume au??
🤣🤣🤣🤣 niwacheeee.Mapenzi upofu!!
Mtaje tu, mbona ulikuwaga unamtaja?Unataja kumbe yupo kifuani mwa kajamaa nako kapo humu kanakuchora tu kwa kuisifia na kujipendekeza kwa chombo yake , hizo mbaga kwa sasa nimestaafu bwashee karibu mbege hapa
Yule jamaa anajiita MENEMENE TEKERI NA PERESI kapita nae saivi wapo zao wanakula pension.Mama watano yuko wapi?
Muanze honey moon.
Au ukute wahuni wameiburuza mpaka manzi imeamua kubadili nomino afu wewe unaisifia wajomba wanakuchora tu.Unataja kumbe yupo kifuani mwa kajamaa nako kapo humu kanakuchora tu kwa kuisifia na kujipendekeza kwa chombo yake , hizo mbaga kwa sasa nimestaafu bwashee karibu mbege hapa
Hunaga jema wewe.Au ukute wahuni wameiburuza mpaka manzi imeamua kubadili nomino afu wewe unaisifia wajomba wanakuchora tu.
Unakwama wapi dogo?Yule jamaa anajiita MENEMENE TEKERI NA PERESI kapita nae saivi wapo zao wanakula pension.
Saiv nipo namtrain moja hapa mdogo mdogo falsafa zikimwingia naapa nae madhabahuni.Unakwama wapi dogo?
SIO KWELI NAOMBA MSIAMINI HUU UZUSHI ,MIMI SIKUWAHI KUMTAKA HUYO MTU NA WALA SINA INTEREST NAYE KWAHIYO MWENYE KUMTAKA AENDE .Yule jamaa anajiita MENEMENE TEKERI NA PERESI kapita nae saivi wapo zao wanakula pension.
Mimi na Seran tumeunga mkono hoja bwashee😄SIO KWELI NAOMBA MSIAMINI HUU UZUSHI ,MIMI SIKUWAHI KUMTAKA HUYO MTU NA WALA SINA INTEREST NAYE KWAHIYO MWENYE KUMTAKA AENDE .
USHAHIDI WA HAYA NI DADA Seran NA BWASHEE min -me
NOTE :NIMEANDIKA KWA HERUFI KUBWA ILI KUWEKA MSISITIZO MAANA KUNA WATU WANATAKA KUUWA BRAND YANGU NILIYOIJENGA KWA SHIDA SANA
🤣🤣🤣 Hii silaha ni kubwa sana kuliko nguvu ya adui, lazima UN na Common wealth nations waingilie kati kuijadili. 🤣🤣🤣🤣 Vincenzo Jr multiple Certified Hater The WhoAu ukute wahuni wameiburuza mpaka manzi imeamua kubadili nomino afu wewe unaisifia wajomba wanakuchora tu.
Ndo hivo mwenetu hii audience ambayo hatujuani ina mengi unajiperembesha kwa demu kumbe wahuni wanamjua hadi michirizi na vidoti mwilini mwake!🤣🤣🤣 Hii silaha ni kubwa sana kuliko nguvu ya adui, lazima UN na Common wealth nations waingilie kati kuijadili. 🤣🤣🤣🤣 Vincenzo Jr multiple Certified Hater The Who
Kwanza unakumbuka ulituambia nini? Naona unaanza kubadili maelezo.Saiv nipo namtrain moja hapa mdogo mdogo falsafa zikimwingia naapa nae madhabahuni.
Unitumie zawadi ya Valentine🤣🤣🤣 Hii silaha ni kubwa sana kuliko nguvu ya adui, lazima UN na Common wealth nations waingilie kati kuijadili. 🤣🤣🤣🤣 Vincenzo Jr multiple Certified Hater The Who
Tuombe uzima!Kwanza unakumbuka ulituambia nini? Naona unaanza kubadili maelezo.
🤣🤣🤣 Kazi kwenu. Wahenga wanaambiana kula nyama nyamazaNdo hivo mwenetu hii audience ambayo hatujuani ina mengi unajiperembesha kwa demu kumbe wahuni wanamjua hadi michirizi na vidoti mwilini mwake!