Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Wivu tu unakusumbua.Binti gani atamzimikia Mjusi?
Wivu tu unakusumbua.Binti gani atamzimikia Mjusi?
M.A.P ValentinaFebruari 14 sio mbali sana, kama ungepata nafasi ya kumchagua mtu wa kuwa naye hiyo siku ya valentine ila kwa sharti awe member wa Jamii Forums, je?
Ungemchagua nani na ungependa kwenda naye wapi kurelax.
Kabisa!!!! Ila itabidi nijifunze kuongea ki slay queen ili tuendane.Hii nimeipenda. Sisi tunakwenda kwenye mazingira asilia.
Mifumo yangu yakudukua ni ya Mossad. Inategemewa na Marekani.Utapigwa shoti huwezi kuunlock mfumo una security za kimataifa..!! 😹
🤣🤣🤣🤣'90 alikuwa udsm wakati wewe huna unalojua duniani😅😅hakuwezi tena!!
Mama watano yuko wapi?Ngoja niwaone mnaopendana
😂😂😂😂😂😂 sina hata mazoea nae kwa kweli.Kumbeee! Sasa mbona analia lia kila nyuzi.. ni mpweke huyu jamaa ana mkosi gani jmn😂
😂😂😂😂😂😂 sina hata mazoea nae kwa kweli.
😂😂😂😂😂 mabwakuuu, hata simjui. LolView attachment 3538353Kwamba humjui huyu coca😅
5G plusUnamtaja member ambaye anataman kutajwa na member mwengine
Hii itakuwa sio shobo ila ni kiherehere😅
Mapenzi upofu!!🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo ushaniona mtoto mwenzio!!
Amesababisha siku hizi nikiingia jf sina kazi ya kufanya. Wakati ilikuwa naanza kwanza kutafuta nyuzi na comments🙆♂️🙆♂️