Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 3,676
- 5,895
Muungano wa ghafla sioPopcorn za nini si tutengeneze muungano wetu na sisi tutambe
Muungano wa ghafla sioPopcorn za nini si tutengeneze muungano wetu na sisi tutambe
Bibiye unanichosha, unaharibu uzi wa watu.
Yameisha 😅Bibiye unanichosha, unaharibu uzi wa watu.
Halafu hizi mbanga nilishastaafu sasa hivi hapa najilazimisha kutype kukujibu ujue..!!
Ndiyo tuchague na location ya kwendaMuungano wa ghafla sio
Kwendaaaaaa🤣🤣🤣Kazeeka yule hawezi kuwa active tena, huna chako😅
'90 alikuwa udsm wakati wewe huna unalojua duniani😅😅hakuwezi tena!!Kwendaaaaaa🤣🤣🤣
Ng'ombe hazeeki maini.
Nyuzi kama laki 7😃Mapenzi yamezagaa huku
Yaani hatari ni mapendo kila konaNyuzi kama laki 7😃
Hata sio yeye.Bro umeamua ujitaje kwa kutumia parody lako 😅😅
😂😂😂Mapenzi yamezagaa huku
Mapendo daima😹Yaani hatari ni mapendo kila kona
Watu wanaoneshana upendo zaidi ya jada na pac
Sio poa
Tunaenda wapi mtanzania mwenzangu 😅
Ngoja nisubiri najua mabinti wengi humu ndani wananizimikia.
Februari 14 sio mbali sana, kama ungepata nafasi ya kumchagua mtu wa kuwa naye hiyo siku ya valentine ila kwa sharti awe member wa Jamii Forums, je?
Ungemchagua nani na ungependa kwenda naye wapi kurelax.