Driver proffesional
JF-Expert Member
- Feb 18, 2022
- 1,264
- 2,910
Aisee
Unamtaja kidume mwenzako
Ni mjanja sana huyo mjusi 😂.Kumbeee! Sasa mbona analia lia kila nyuzi.. ni mpweke huyu jamaa ana mkosi gani jmn😂
Kwani shida ipo wapi? Kikubwa awe Lamomy tuUnamtaja kidume mwenzako
Bado unateseka?Unamtaja kidume mwenzako
Yeye aniache hata kama huna anawashwa na nini? Ili mradi tuwe wote, wenye wivu wajinyonge Lamomy wanguAchana naye taahira huyo nimemkanda sehemu anaruka ruka km kuku mwenye kideli…!!
Hakuna mwanamke anayeweza kutype hivii na asiyekujua labda mgeni humuBado unateseka?
Leo utalala unaweweseka, nimekubonyeza kalio kidogo Umeanza kutoa milio kaza basi..!! 😹😹😹
Mwambie akutag wewe demu. 🖕🏿🤣
😹😹😹 Unajua nacheka nini?Hakuna mwanamke anayeweza kutype hivii na asiyekujua labda mgeni humu
Hakuna mwanamke anayeweza kuandika hayo unayoandika hapo ndo unapozidi kufeli sasa😹😹😹 Unajua nacheka nini?
Unavyolazimisha Gwapole akuelewe wewe kwa kuniita mimi kidume.
Hii ni ajabu dunia imefikia mwisho kwakweli!! Yani unaulilia muhogo wa mwanaume mwenzio??!!
Wewe timamu kweli?
Haya yake she wewe demu na mimi kidume njoo tukupige collabo na Gwapole roho yako isuuzike
Mfumo nimeuwekea ulinzi mkali 😹
Unazunguka sana Gwapole kashakuelewa bhana mfate pm mmalizane..!!Hakuna mwanamke anayeweza kuandika hayo unayoandika hapo ndo unapozidi kufeli sasa
Sema tufanye yameisha UMESHINDA Baba
Utapigwa shoti huwezi kuunlock mfumo una security za kimataifa..!! 😹Utadukuliwa tu bila kuchoka😁