Roho mbaya tu inakutafuna acha ushirikina wewe dada namana mavoko yote yale nimekutupia umeyazika kaburini.Utababuka makalio, hupati mtu ng’odo!
Popcorn za nini si tutengeneze muungano wetu na sisi tutambeYatima wenzangu chukue popcorn tusome zetu comments
Ndege twende zetu crater ngorongoro tukale lunch na simba.
Umetengwa mpaka na nduguyo secretarybird mwambie akutafutie mubebez gen zee🤣Roho mbaya tu inakutafuna acha ushirikina wewe dada namana mavoko yote yale nimekutupia umeyazika kaburini.
LamomyFebruari 14 sio mbali sana, kama ungepata nafasi ya kumchagua mtu wa kuwa naye hiyo siku ya valentine ila kwa sharti awe member wa Jamii Forums, je?
Ungemchagua nani na ungependa kwenda naye wapi kurelax.
Tulia wewe acha mdomo mrefu kuna mtoto matata atatimba hapa muda si mwingi.Umetengwa mpaka na nduguyo secretarybird mwambie akutafutie mubebez gen zee
Ila G huniachi nikapumua…!!
Kuna cha kupumua katika mahabaIla G huniachi nikapumua…!!
Bro umeamua ujitaje kwa kutumia parody lako 😅😅Extrovert
Hii nimeipenda. Sisi tunakwenda kwenye mazingira asilia.Ndege twende zetu crater ngorongoro tukale lunch na simba.
Mbona nasikia cocastic ni wake.Umetengwa mpaka na nduguyo secretarybird mwambie akutafutie mubebez gen zee🤣