Valentine imekaribia, ungependa member gani awe valentine wako?

Valentine imekaribia, ungependa member gani awe valentine wako?

Namtafuta my Valentine🌹
Nakuelewa kinyaaama shida sasa we unataka wenye KISS-ME nami nina RUNGU LA KOMANDO KIPEPE.

Kama ikiwezekana kigamboni nzima tuwahamishe nibaki mimi na wewe tu, kesho yake naanzisha varangati navy pale na machava(mizinga) mtondogoo raia.. nitahamisha wote, tubaki sisi tu..
Nakuelewa mnoooooo, nasikitika ndizi MZUZU inaniponza, nawe unataka HARAGE

😂🤣
 
Mwambieni Dr. Mariposa ndio crush wangu humu, hiyo sifa nawaibia nyinyi.. shida yetu tu ni ACTION AND REACTION are not equal... ingekuwa law ya 3 ya motion inaleta costant(K) sasa hivi kitambo tu nishapiga dy/dx saa hizi angekuwa yupo nyumbani tunasonga ugali na SAMAKI wetu mkuuuubwa.

Nikiona comment yake tu mie hoi bin taabani, sijawahi penda kama hivi, lakini mapenzi yanani'DITCH.
 
Ni kaufala fulani bwashee , mimi kuna I'd nilitaka itaja nikashtuka ishataja mwingine😅😅 una baki kama Fala Fala fulani tu
Itaje tu hiyo ID bwashee, mbona Atoto wangu kataja na kutajwa lakini mimi bado namtaja😅😅 tena kaniita kabisa kuniambia namna gani anaimiss hiyo ID, sema najua jamaa kazeeka hana analoweza kumfanya.
 
Itaje tu hiyo ID bwashee, mbona Atoto wangu kataja na kutajwa lakini mimi bado namtaja😅😅 tena kaniita kabisa kuniambia namna gani anaimiss hiyo ID, sema najua jamaa kazeeka hana analoweza kumfanya.
Unataja kumbe yupo kifuani mwa kajamaa nako kapo humu kanakuchora tu kwa kuisifia na kujipendekeza kwa chombo yake , hizo mbaga kwa sasa nimestaafu bwashee karibu mbege hapa
 
Temporary post inafutwa sio muda🤓

Lamomy sijakoma na ma voice
Watu we weeeeeee... my crush huyu hapa anajaa kwenye mfumo..
Kifuatacho wajeda watafute pakuweka kambi zao..
Kisha raia mhame kwa hiari yenu.. kabla sijacharuka.
Na kigamboni nitaibadili jina itaitwa Dr. Mariposa
Picha linaanza hii sauti yako ndio inakuwa ringtone yangu..
Na iphone waiongeze hii katika milio yao

Nakala ya barua ifike ikulu na nyingine iwafikie google map waanze mchakato wa kubadili jina..
Nakala kwa apple, wabadili ringtone yao
 
Back
Top Bottom