makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
😂🤣Basi mdogo wangu ushaanza nongwa, ninapotia mguu nawe umo.. mdogo wangu mie sipendi competition, ndio maana hao wengine nimewaachia nyinyi, mie nataka nibiringite na huyu wa F-F, mpaka ajue umuhumu wa M-FKigamboni pa kazi gan? Njoo huku rukwa wilaya ya kalambo vijijini , nimejenga mansion langu lina kila kitu 😊