Valentine imekaribia, ungependa member gani awe valentine wako?

Valentine imekaribia, ungependa member gani awe valentine wako?

SIO KWELI NAOMBA MSIAMINI HUU UZUSHI ,MIMI SIKUWAHI KUMTAKA HUYO MTU NA WALA SINA INTEREST NAYE KWAHIYO MWENYE KUMTAKA AENDE .

USHAHIDI WA HAYA NI DADA Seran NA BWASHEE min -me

NOTE :NIMEANDIKA KWA HERUFI KUBWA ILI KUWEKA MSISITIZO MAANA KUNA WATU WANATAKA KUUWA BRAND YANGU NILIYOIJENGA KWA SHIDA SANA
Daktari wetu mbona umekuwa serious hivi kipi kimetokea? Kipi kimebadilika ghafla hivi na ulikuwa wa kwanza kumuomba huyu mama kwa verse 100 kwenye ule uzi🫢
 
1770142792427.jpg
 
Daktari wetu mbona umekuwa serious hivi kipi kimetokea? Kipi kimebadilika ghafla hivi na ulikuwa wa kwanza kumuomba huyu mama kwa verse 100 kwenye ule uzi🫢
Wanataka kuishusha brand yangu kwa nguvu dada na nimeshasema nisamehewe kwa zile verse kuna shida kwenye mfumo wangu wa utambuzi zilicollapse .

Mimi ni mwanadamu na kukosea nimeumbiwa ndugu zangu .
 
Back
Top Bottom