Valentine imekaribia, ungependa member gani awe valentine wako?

Valentine imekaribia, ungependa member gani awe valentine wako?

Tatizo lipo hapo kwenye kukutana mnaopendana

Yaani ni mwendo wa kudate na mtu usiyempenda ye anakupenda au unampenda ye hakupendi
No hivyo yani
Kuna mwingine unakuta unajicommot kupenda kweli unaweka kambi hapa nimefika kumbe yeye kaweka makazo Kwa muda,anawaza pengine.akifunguliwa mlango aende zake😊
 
Acha tu..
Mi kuachwa tu naumia hivi.je yanayowakuta ya kuoa/kuolewa sipati picha maumivu yake
Halafu ukute ushamtambulisha Kwa watu wako WA karibu na mbali
Kuna watu wanajua kufedhehesha wenzaošŸ˜„
Daah yaani šŸ˜…
Halaf ukimuuliza anasema familia ilimlazimisha na hakukukwambia kwasababu aliogopa kukuumiza

Kwamba hapo alivyooa au kuolewa bila kukwambia hajakuumiza wala šŸ˜‚
 
Daah yaani šŸ˜…
Halaf ukimuuliza anasema familia ilimlazimisha na hakukukwambia kwasababu aliogopa kukuumiza

Kwamba hapo alivyooa au kuolewa bila kukwambia hajakuumiza wala šŸ˜‚
Kuna muda sishangai kwanini wanauana..usicheze na hisia za mtu.kama huna Nia unafunguka tu basi.
 
Februari 14 sio mbali sana, kama ungepata nafasi ya kumchagua mtu wa kuwa naye hiyo siku ya valentine ila kwa sharti awe member wa Jamii Forums, je?

Ungemchagua nani na ungependa kwenda naye wapi kurelax.
Waliotangulia mbele zakei hao ndionwanafaa kwa sasa waliobakia mmh
 
JF INAVITUKO WALAHUI

MOAKA SASA HIZI AMJAOA WALA KUOLRWA MNASUBIRIA VALENTINE WA JF

PAMBANENI BANA 2026 MUWE NA WENZA MKISHINDWA KABIENI HATA KWA JUU TWENDE SAWAA

HAYA MAMBO KUSUBIRI VIMONDO NDIO MKA ENJOY JF TUTASAHAULIANA HUMU WAPENDWA

ALL D BEST N HAPPY VALENTINE N ADV
 
MM NIMEAMUA KUKARIBISHA MWANAMKE AMA MWANAUME ANAETAKA NDOA TUFANYE MAOMBI NAE NYUMBANI KWANGU NIKIWA NA MAMA WATOTO PAST SHERRY VALENTINE HII KAMA UKO TAYARI NJOO INBOX HAKUNA KUTOA PESA MAFUTA NA MAJI NTAGAWA BURE
 
Back
Top Bottom