makaveli10 ni mali ya umma, simuwezi mimi.Atoto si unamuona mwenyewe maka anachofanya..!!
Mi baadaye naomba mshahara wangu usikatwe tu..!! 😹😹😹
Mie najua ni wako, we neng'eneka tumakaveli10 ni mali ya umma, simuwezi mimi.
Public thing😂makaveli10 ni mali ya umma, simuwezi mimi.
Acha kabisa shem, ni huzuni😭Public thing😂
Nimekumis shindii😪Acha kabisa shem, ni huzuni😭
Hahaha nilimmisi sana mshirima ,hajahama bado pale?Miss you more shindii!
Ma shirima anakusalimia🤣
Ahame aene wapi!! Hana pa kwenda.Hahaha nilimmisi sana mshirima ,hajahama bado pale?
Mpaka nimeanza kunywa gongo baada ya mashirima kunikimbia😅Ahame aene wapi!! Hana pa kwenda.
Ukinywa gongo tutakuchapa fimbo kwenye kikao cha ukoo, ole wako!!!Mpaka nimeanza kunywa gongo baada ya mashirima kunikimbia😅
Hapana shindii ,kamwe siwezi kumkimbia mashirima, sema tu mashirima yeye hanielewi🤣Ukinywa gongo tutakuchapa fimbo kwenye kikao cha ukoo, ole wako!!!
Mashirima anasema wewe ndio ulimkimbia baada ya kugonganisha mafile🤣
Hueleweki, sasa atakuelewaje🤣🤣Hapana shindii ,kamwe siwezi kumkimbia mashirima, sema tu mashirima yeye hanielewi🤣
Kwa hizi stress za mashirima nitakunywa gongo tu shindiiHueleweki, sasa atakuelewaje🤣🤣
Ole wako unywe gongo.
Stress umejitakia, mashirima hana baya🤣Kwa hizi stress za mashirima nitakunywa gongo tu shindii
Mashirima ana makoloni kibao , kila siku ananunuliwa mabohora ya mbege😪Stress umejitakia, mashirima hana baya🤣
🤣🤣🤣Mashirima ana makoloni kibao , kila siku ananunuliwa mabohora ya mbege😪
🤣🤣Mie hata sina makoloni , mashirima ana ushindani mkubwa sana na ananitenga sana kwenye mbege🤣🤣🤣
Mbona anasema wewe ndio uko na makoloni kibaoo. Nyie mko na shida sio bure🙆♂️
Aaah wapi! Mashirima ulikuwa mteja wake bora kabisa, sijui ukakengeukia wapi🤣🤣🤣Mie hata sina makoloni , mashirima ana ushindani mkubwa sana na ananitenga sana kwenye mbege
Tatizo la mashirima pale kwake kuna majamaa yalikua yanakuja kulewa yamepaki magari makali na mashirima anacheka nao nikaona nikae pembeni mapafu ya kushindana sina😅Aaah wapi! Mashirima ulikuwa mteja wake bora kabisa, sijui ukakengeukia wapi🤣