Valentine imekaribia, ungependa member gani awe valentine wako?

Tatizo la mashirima pale kwake kuna majamaa yalikua yanakuja kulewa yamepaki magari makali na mashirima anacheka nao nikaona nikae pembeni mapafu ya kushindana sinaπŸ˜…
Sasa kucheka na wateja nayo ni kiu ya kukusumbua shindiiπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Shindii kamoyo kangu kadogo 🀣 na mashirima nilimwelewa nikaona ka moyo katakuja pasuka nikaona nibadili na pa kunywea pombeπŸ˜…
 
Sasa mashirima asipocheka na wateja unataka akale polisi? Hiyo ni sehemu ya biashara. Rudi tu amekumiss.
 
Inabidi nikirudi nimfungulie mashirima sehemu ya kuuza kitimoto , pale sipataki tena wanywa mbege wanamvizia mnoπŸ˜…
 
🀣🀣🀣🀣 kwahiyo umeamua na biashara umbadilishie kabisa!!
Sasa kitimoto si inashuka vizuri na mbege?
 
Shindii tatizo la mbege wakishalewa wanamsumbua mashirima wangu🀣
 
Shindii inabidi unisindikize kwa mashirima tukayajengeπŸ€—
Sio nakusindikiza halafu unaharibu tena!! Mie nakupigia pande, ukifika unavurugaπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…