mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,253
- 22,843
Hahaha hela ulioitafuta miaka miwili uile usiku moja kwa bao moja na story za uwongo na kweliSawa Swahiba. Kama zipo nafasi ndio hiii na huwa kama hizi hazijirudiagi. Teh.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hela ulioitafuta miaka miwili uile usiku moja kwa bao moja na story za uwongo na kweliSawa Swahiba. Kama zipo nafasi ndio hiii na huwa kama hizi hazijirudiagi. Teh.
NakojoaaaaaaaaaaaaaHaha maana nisije nikatoa offer kumbe mzigo haufiki
Hahahaaaa. Unaniangusha bana Swahiba.Hahaha hela ulioitafuta miaka miwili uile usiku moja kwa bao moja na story za uwongo na kweli
Woyoooooooooo wozaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kazi kusalimia tu pm Pesa hawanaJamani mmesanda game ?
Na mkishindwa hilo mkome kunifata pm eti oog dada ninavutiwa na ww coz y're very charming .
Kumbe midume suruali au niwataje mnaonisumbua pm?
Nishatupia bapa zangu hapa hata msinichanganye.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakojoaaaaaaaaaaaaa
Hahahaha usianguke bwanaHahahaaaa. Unaniangusha bana Swahiba.
Yaan wamepatikana kazi kujigamba tu kumbe hollaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wa jf kama nawaona
Weee Acha awakomeshe Kila saa salam pm Nani anatakaUsiwafanyie hivyo Miss Curiuos
Hahaaa. Wala hukosei Mkuu. Pesa huwa naona inafaa ikizalisha na sio iteketee na kuleta hasara mwisho wa siku yanabaki majuto.Mkuu milioni kumi na moja kisa valentine halafu kwa sisi wakristo ni J'5 ya majivu.
Au labda nakosea mkuu.? Haya mambo yanaenda na priority za watu. Labda mi niko nyuma ya wakati.
Ahhahahaaahah jamaniKama huna pesa kaa kimya usiniletee pepo lako la kukosa pesa.
Uwanja ni wako weka list hapa nishachukua popcorn nasubiriaJamani mmesanda game ?
Na mkishindwa hilo mkome kunifata pm eti oog dada ninavutiwa na ww coz y're very charming .
Kumbe midume suruali au niwataje mnaonisumbua pm?
Nishatupia bapa zangu hapa hata msinichanganye.
Hahaaaa. Nyie mpo mtanisaidia Shoga.Emmyta utachambwaaa Hahaha nadhan wale wanaojisifiaga mambo Safi vipi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wana pesa za maandishi. Teh teh.Woyoooooooooo wozaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kazi kusalimia tu pm Pesa hawana
Msojifanye busy mwite na Miller kabisaNgoja kwanza nisome salio nitarudi
Acha uchochezi DinaYaan wamepatikana kazi kujigamba tu kumbe hollaaa