Valentine special offer from Miss curious to real gentlemen.

Valentine special offer from Miss curious to real gentlemen.

Wanapita kimya kimya na wale wapovukaji basi ndio hivyo tena wanatoa povu.

Hahaaaa. Nashangaa wale wanaotaja taja Valentine hata hawaji huku.

Davet rafiki njoo huku.
Emmyta utachambwaaa Hahaha nadhan wale wanaojisifiaga mambo Safi vipi
 
Mkuu milioni kumi na moja kisa valentine halafu kwa sisi wakristo ni J'5 ya majivu.

Au labda nakosea mkuu.? Haya mambo yanaenda na priority za watu. Labda mi niko nyuma ya wakati.
Hahaaa. Wala hukosei Mkuu. Pesa huwa naona inafaa ikizalisha na sio iteketee na kuleta hasara mwisho wa siku yanabaki majuto.

Na ikitokea basi iwe pesa ndogo na sio mahela yote hayo ambayo unaweza yafanyia cha maana sana.

Wala sio Ushamba Mkuu.
 
Jamani mmesanda game ?
Na mkishindwa hilo mkome kunifata pm eti oog dada ninavutiwa na ww coz y're very charming .
Kumbe midume suruali au niwataje mnaonisumbua pm?
Nishatupia bapa zangu hapa hata msinichanganye.
Uwanja ni wako weka list hapa nishachukua popcorn nasubiria
 
Huna tofaut na yule aliejitangaza atakae nioa mali million 500 leo hii anatafuta tu mtu mwenye upendo wa dhati vingine no
 
Back
Top Bottom