Valentine's day

Valentine's day

I agree with you aiseh kwasababu mapenzi yanaishi everyday why usibiri every year 14th feb 🙂!
tapatalk_1550140843942.jpg
 
Kuwa Mzalendo Achana Na Sherehe Za Mabeberu
 
Kaka me leo mtu nlompenda kwa dhat ya moyo wngu kanimwaga now npo na stress knyma naumia Ila ndo hvyo Sina jinsi....!!
 
Kila siku iliyopangwa kwenye kalenda ina umuhimu wake,kama una nafasi itumie; kwa sababu hata usipoifanya hutaishi miaka 1000
 
Back
Top Bottom