Valentine's day

Valentine's day

Nawatakia valentine wapendwa wote jamii forum.
IMG-20210214-WA0006.jpeg
 
Leo Ni siku ya wapendanao ambayo ina tafsiri nyingi. Ina wanaovalentika kwa kuchezeana, ina wanaovalentika kwa malengo na ina wale wenye tafsiri mama ya Valentine's ambayo Ni upendo wa agape.

Mimi leo nimekaa nikawaza idadi ya malalamiko niliyowahi kupokea kuhusu kupotezeana muda kwenye mapenzi nikasema niwaulize na ninyi rekodi ipoje huko kwenu?

Kwangu Mimi nimewahi kupokea lawama zipatazo 74 toka nianze kuwapenda ila Kati ya malamiko yote hayo hakuna lalamiko nililokutwa na hatia kwa sababu sijawahi kutoa ahadi ila nadhani wao walijiwekea malengo miyoyoni mwao.

Legends happy Valentine's......
CHAWABATA oyee
 
Back
Top Bottom