Valentino Mashaka na Che Malone wamerudisha huu ushangiliaji classic

Kuwa hakuna wenye akili Yanga zaidi ya baba yake na Jakaya...πŸ˜†πŸ˜„πŸ˜ƒ

Na kudhihirisha kuwa ni kweli mitusi yote aliyowatukana akiwa simba lakini bado leo wanamsujudia.
Yani kwa zile shombo..bora wangemkataa tuu kama tulivyomkataa Dula Makabila siku ya Simba Day πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜ƒ
 
Juzi nikaona wanasema wamefunga goli 8, 5+2+1 nikaona hawa kumbe ni wa kuwahurumia tu. Hawa ni mashabiki walioletwa kwenye mpira na Hamisa Mobetto
Hapo ndo nikasema ule msemo wa maskini akipata makalio hulia mbwataa mbwataaa....
Sikutaka kubishana nao nikasema hii ni faraja waliyoitafuta muda mrf sana..
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜ƒ
 
Yule dogo Balua...dogo Awesu wako vzr sana......kibu dee naona ameanza kuuwasha wenge limemtoka kwa sasa...
Mo hussein ule ni mfupa uliowashinda fisi..atacheza mpk achoke mwenyewe aisee ana fitness kubwa mno.....
Mimi kama dada yao nawaombea tuu kwa Mungu msimu huu majini yasiwavamie. ..
Waendelee kuruka juu wakishangilia magoli mengi ...
Amina
 
Yani kwa zile shombo..bora wangemkataa tuu kama tulivyomkataa Dula Makabila siku ya Simba Day πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜ƒ
Ubavu huo wanao... Gharib anachokitaka ndicho wanafanya... Nakumbuka walimkataa yule dada Suma Mwaikenda kisa Hersi kasema hamtaki na wenyewe wakajua wakimchagua Gharib atanuna..πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜†
 
Hivi mbona huo uzi wa vouchaa ni kama umekua maarufu mno
Binafsi naona ni dhiki za kijinga tuu .Na wanaotoa wanainga na wengine wanafeki.

Kuna mtu alitoa za elfu 20 kwenye social media moja ila ikagundulika zote ziliingizwa na namba 1 how come? Vocha ya buku x20 zote ingize mtu mmoja?
 
Duuh au alikuwepo na huyo mtu karibu...
 
Yani kwa zile shombo..bora wangemkataa tuu kama tulivyomkataa Dula Makabila siku ya Simba Day πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜ƒ
Kuna funzo kubwa sana limepatikana kwenye ile issue. Msanii gani asiyejielewa hafikirii kesho yake wala hajui mashabiki wake ni kina nani. Kwanza utapimana nguvu na klabu kongwe kama Simba kisa una kaumaarufu ka mpito huko uswazi?
 
Ubavu huo wanao... Gharib anachokitaka ndicho wanafanya... Nakumbuka walimkataa yule dada Suma Mwaikenda kisa Hersi kasema hamtaki na wenyewe wakajua wakimchagua Gharib atanuna..πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜†
Ila yupo vzr upstairs yule dada..walitaka wadominate walume ndago watupu πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Sasa hivi wameanza kutuma wachezaji wao waje kuiangalia Simba. Wanaweweseka sana baada ya kuona njia za panya zimefungwa
 
Kuna funzo kubwa sana limepatikana kwenye ile issue. Msanii gani asiyejielewa hafikirii kesho yake wala hajui mashabiki wake ni kina nani. Kwanza utapimana nguvu na klabu kongwe kama Simba kisa una kaumaarufu ka mpito huko uswazi?
Aisee ile ni funzo kubwa mnoo...nadhan wasanii watajifunza...Ally Kiba ni Yanga Damu ila leo anaiimbia Simba na tulimkubali na bado ana mashabiki wake wa Yanga..huo ndo usanii
Sema yule Dula nadhani ana tabia ya kuongea sana na utoto sijui ujinga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…