Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Hatimae amefunga ndoa na ana watt 2 🤣🤣So..! Kwani huko alipo sahivi amekuwa malaika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatimae amefunga ndoa na ana watt 2 🤣🤣So..! Kwani huko alipo sahivi amekuwa malaika?
Aibu naona mimi.Chukua time huko, unajuaje sijashauri familia yangu?! Mimi ndio nimeshatoa yangu kama wewe ulivyotoa yako...tusipangiane cha kuandika humu...hunilipii bando
Nikiwaletea habari mnanichamba mnasema uongo, mngekijua chanzo changu mngeniheshimu sana.
JmnNikiwaletea habari mnanichamba mnasema uongo, mngekijua chanzo changu mngeniheshimu sana.
Tulieni
Niacheni kwanza niinjoi umbea wangu mwenyewe, hizi wiki 2 nina rahaaaaaaa.Jmn
Yaani huku kumepoa achana nao bwana wanaokuchamba😅
Kila nikichungulia kuolewa ka Misa ,Vanessa ,na yaliyomkuta zuchu sioni humu jmn
Pls tunaomba
Jamani vibaya hivyoNiacheni kwanza niinjoi umbea wangu mwenyewe, hizi wiki 2 nina rahaaaaaaa.
Ubuyu wa Leo wa Mondi na Ritha wa motooooo! Yani nina raha balaaa.Jamani vibaya hivyo
Zuchu atakaemtoa pale ni Mungu ila wanadamu wameshindwa🙌😅Ubuyu wa Leo wa Mondi na Ritha wa motooooo! Yani nina raha balaaa.
Zuchu kashafuta sijui kahide mapicha yote na kum-unfollow Mondi, nyieeeeee.