Vanessa bila kujiondoa kwa Jux angechunda!

Vanessa bila kujiondoa kwa Jux angechunda!

Jux, you have done a mistake kwenda Nigeria for prixcy, dada hajui lingine zaidi ya show offs, you will go broke soon. After what you have been through I expected you to pick a responsible girl, sio hawa celebrity wannabe...
Umeshauri familia yako umemaliza?
Punguzeni uchawi wa nafsi kama vile watu mnakaa nao, binti ni influencer among other things ulitaka aweje mama jux?

Let them enjoy the moment, yakiwashinda si basi.... we live once and he is a grown up man to know what he wants. Kashadate sana sidhani kama ana ulimbukeni wa K kihivyo sababu kashakua na wanawake wazuri kushinda huyo.

Na ikitokea amego broke kwaajili ya mapenzi basi atakua KUBWA JINGA

Otherwise utakua mtu wa maana ukiwatakia heri au ukipita kimya kimya kuliko kuwa mpiga ramli wa familia za watu.
 
Chukua time huko, unajuaje sijashauri familia yangu?! Mimi ndio nimeshatoa yangu kama wewe ulivyotoa yako...tusipangiane cha kuandika humu...hunilipii bando
 
Na mimi ndio nishaandika hivyo...hupendi tapika, usinipangie cha kuandika humu...niwatakie kheri ukiwa km nani uniambie hivyo?!
Uzwazwa ni kujifanya kutoa a very personal comment kwa watu usiowajua.... Huna akili binti wa watu huishi nae na huyo jux tunamuona mitandaoni....

Akifilisika tutakuja weka likes kwenye comment upupu yako. HOVYOOOOO UCHAWI UCHAWI TU KWENYE MAISHA YA WATU, WASANII NI BINADAMU PIA.

ignored usihangaike kujibu coz sitosoma
 
Jux saivi kapata wife material. Yule dada kwa muonekano katulia na yupo serious kwa Jux
 
Jux kaoa mali safi mtoa mada.....
Ujinga ni kuona mtu waliyeachana bila vita miaka 7 iliyopita bado anainfluence kwa mtu mzima
 
Back
Top Bottom