Vanessa bila kujiondoa kwa Jux angechunda!

Vanessa bila kujiondoa kwa Jux angechunda!

hv kwa nn juma huwa anajiita jukusi? kuna mtangazaji mmoja kipindi kidogo maarufu, alikuwa anaitwa jimmy kabwe, kumbe jina lake halisi ni jumanne kabwela.

mrangi hv jumanne kabwela (jimmy kabwe) yuko wap siku hz?
Jimmy kabwe aliwika Sana enzi zake alikua anataka bahati nasibu flan hivi (sijui jackpot bingo? Nimesahau jina)
 
Wote wajinga ILA VEE MONEY SHE ALWAYS WANT STATUS SHE THINK SHE WAS BEYONCE MTU WA KUSHOBOKA JUX NAAMINI MPAKA KESHO DEMU ANAYEMKUBALI NI VEE MONEY ILA SHE WANT A STATUS JAMAA MWENYEWR SIO STAA KIVILE MAREKANI
Rotimi ni msanii wa kawaida sana pale US. Kama alivyokuwa bongo hapa kina banana zoro. Anashindwa hta na vedo mzee wa bitter
 
Back
Top Bottom