Vanessa Mdee alikuwa kipanga wa hatari shuleni. Ni kundi moja na Jokate

Neno kipanga limekosa heshima katika huu uzi.....2 ya 19 anaitwa kipanga kweli UVCCM hamna akili hata huyo jokate ukifatilia utakuta alipata one za 16 au 17 huko.
Jokate Mwegelo ni I.11 pale St Anthony Mbagala. Jitahidi uwe unafurahia mafanikio ya wengine.
CIV-B HIS-B GEO-C KIS-B ENG-A FRE-B PHY-B CHE-A BIO-A BAS-D
 
Mkuu, kwa matokeo haya, Vee siyo kipanga kama unavyotaka iwe, japo siyo kilaza.

Ova
 
Kwahiyo ni kilaza? Acha chuki za kifala wewe.

Wewe endelea kusifia tu, si ndio kazi mliyoizoea makada wa CCM...

Hizo C na D unaona grades za maana wakati hizo ni scores 60 kwenda chini huko...mtu ana D ambayo ni 40 kwenda lihamba huko, bado umekaza fuvu unasifia ufaulu...
 
Jokate Mwegelo ni I.11 pale St Anthony Mbagala. Jitahidi uwe unafurahia mafanikio ya wengine.
CIV-B HIS-B GEO-C KIS-B ENG-A FRE-B PHY-B CHE-A BIO-A BAS-D

Matokeo haya hayaendani na uhalisia wa physics na hesabu.

Ni jambo la ajabu mtu kupata hesabu D halafu physics ukapata B. Maana hesabu ni rahisi kuliko physics. Na bila kujua hesabu huwezi kupata B ya physics na A ya chemistry. Labda kama physics na chemistry alipiga chabo
 
Unaonaje wakati mwingine ukakaa kimya tu badala ya kuongea utumbo?
 
2 ya 19? Kipanga? Kweli dunia ngumu hii
 
Wewe endelea kusifia tu, si ndio kazi mliyoizoea makada wa CCM...

Hizo C na D unaona grades za maana wakati hizo ni scores 60 kwenda chini huko...mtu ana D ambayo ni 40 kwenda lihamba huko, bado umekaza fuvu unasifia ufaulu...
Ulitaka nimsifu mama yako?
 
Vipi nae zuchu alikuwa kipanga maana naye kwa sasa ni mfano wa kuigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…