Nitamwambia kura hazikutosha hivyo akubaliane na matokeo. Tatizo la sisi watz ni wagumu kukubali matokeo. Badala yake tunaanza kubeza na kuponda. Wenzetu humpongeza mshindi na kumwambia aliyeshindwa akazane ili tuzo zijazo aweze kishindaJe akikujibu kampigia utafanyaje
Yeah hawaruhusiwi.... ndio maana hata blog sammisago haikuwahi kureport fiesta.. it's oligopoly market na ndivyo inavyofanya kazi.Hivi ile blog ya Millard ayo hawaruhusiwi kuripot habari za burudan zinazoandaliwa na media nyingine tofaut na clauds? Jana ilikua ndo siku ya Tuzo za EATV nimeangalia hawajaripot chochote kuhus hizo tuzo badala yake wameripot tu Skul bash hii ikoje wadau
Hapo sasa naakuelewa.. Kumbee ni ujinga ule ule wa timu..Watu sijui vp?Hiyo ni tuzo ya mwanamuziki bora wa mwaka,sio ya mwanamuziki bora wa miaka 3 au 2!
Kura ndio ziliamua,au unataka nini zaidi?Waliowengi ndio wameshamchagua Jide!Wengi hamjajua kitu,wengi wa fans wamepiga kura kuwaprovoke clouds media group,lakini pia wengine wamepiga kura za huruma baada ya Jide kudhalilishwa na mkojozaji!
Nadhani msg ilifika vizuri clouds,kwamba pamoja na kumfitini Jide,hawezi kufitini feelings walizonazo juu yake!
So anaweza asiwe amefanya vizuri kuliko wasanii wengine lakini kura zikaamua vinginevyo?
Unahisi kura zinatosha kuamua mshindiNitamwambia kura hazikutosha hivyo akubaliane na matokeo. Tatizo la sisi watz ni wagumu kukubali matokeo. Badala yake tunaanza kubeza na kuponda. Wenzetu humpongeza mshindi na kumwambia aliyeshindwa akazane ili tuzo zijazo aweze kishinda
Mtoa mada hakucheki show Jana naonaVanessa ana jiweka Sana kizungu yule ndo tatizo
Ukiamua watu wapige kura hilo suala halikwepeki!Iko hivyo!Hapo sasa naakuelewa.. Kumbee ni ujinga ule ule wa timu..
Hawa nao ni wanafki ,clouds fm BHivi ile blog ya Millard ayo hawaruhusiwi kuripot habari za burudan zinazoandaliwa na media nyingine tofaut na clauds? Jana ilikua ndo siku ya Tuzo za EATV nimeangalia hawajaripot chochote kuhus hizo tuzo badala yake wameripot tu Skul bash hii ikoje wadau
Vanessa hana hadhi ya kupata tuzo mbele ya jdJapo ni tuzo za Tz.... ilikuwa haina baja ya kusemea hili maana tulilitegemea lakini ukweli lazima uwekwe wazi! Lady Jay De hakustahili kuchukua Tuzo aliyo chukua Jana! Labda jana ilikuwa ni kwa Ajiri ya Wakongwe Tuuu lakini nafikiri hata tukifuatilia upigaji kuraa utaona Vanessa Mdee alikuwa anakura nyingi Tuuu!!!!
Tukiachana na kura Kwa sasa na kwa miaka 2 nyuma wakati lady Jay De alikuwa Nje ya nchi vanessa Mdee ndo amekuwa mtu anae iwakilisha vyema Tanzania Nje ya nchi kwa upande wa Kike hadi kuwa nominated Mara mbili Tuzo za Mtv! Ameshajijengea Mashabaki ndani na Nje ya nchi lakini mwisho wa siku anakosa Tuzo kisa Figisu Figisu!!
Tunaweza kugues why Vanessa Mdee kakosa tuzo lakini sio mahara pake hapa Japo waliotoa Tuzo wanajua ukwelii!! walio ona mchakato wa hizi tuzo waliamua kukaa Mbali!
Lakini kiukweliii Vanessa Mdee Alistahili hii tuzo bila ubishiiiiii.......Hata iwe kwa mchakato wa kuraaa Bado vanessa Ana Fan Base kubwaaa kuliko huyo!!!!
Haya ndo yanayo fanya watu kususia hizo Tuzo! ila Kwangu mimi kwa mwaka Huu Vanessa Mdee ndo the best
Vipi ulimpigia kura?Japo ni tuzo za Tz.... ilikuwa haina baja ya kusemea hili maana tulilitegemea lakini ukweli lazima uwekwe wazi! Lady Jay De hakustahili kuchukua Tuzo aliyo chukua Jana! Labda jana ilikuwa ni kwa Ajiri ya Wakongwe Tuuu lakini nafikiri hata tukifuatilia upigaji kuraa utaona Vanessa Mdee alikuwa anakura nyingi Tuuu!!!!
Tukiachana na kura Kwa sasa na kwa miaka 2 nyuma wakati lady Jay De alikuwa Nje ya nchi vanessa Mdee ndo amekuwa mtu anae iwakilisha vyema Tanzania Nje ya nchi kwa upande wa Kike hadi kuwa nominated Mara mbili Tuzo za Mtv! Ameshajijengea Mashabaki ndani na Nje ya nchi lakini mwisho wa siku anakosa Tuzo kisa Figisu Figisu!!
Tunaweza kugues why Vanessa Mdee kakosa tuzo lakini sio mahara pake hapa Japo waliotoa Tuzo wanajua ukwelii!! walio ona mchakato wa hizi tuzo waliamua kukaa Mbali!
Lakini kiukweliii Vanessa Mdee Alistahili hii tuzo bila ubishiiiiii.......Hata iwe kwa mchakato wa kuraaa Bado vanessa Ana Fan Base kubwaaa kuliko huyo!!!!
Haya ndo yanayo fanya watu kususia hizo Tuzo! ila Kwangu mimi kwa mwaka Huu Vanessa Mdee ndo the best
Asante mkuu kwa hili jibu watu huwa wanatafuta jinsi ya kuiponda cloudsYeah hawaruhusiwi.... ndio maana hata blog sammisago haikuwahi kureport fiesta.. it's oligopoly market na ndivyo inavyofanya kazi.
Alishasema jide ni role modal wake.Ze ndi ndi ndi ilikua anthem nchi nzima nyie mnaomtete cash madame mtuambie ni wimbo wake gani uliotamba nchini mwaka Jana ukaimbwa kuanzia watoto hadi wazee?
V ni talented ila kwa hide bado sana hata yeye anajua hilo!
Africa? Haupo serious unamjua tiwa savage? Achana na yemi alade , kuna jembe linakuja anaitwa simi simplifyMiaka michache ijayo Vannessa Mdee atakuwa ndio msanii bora wa kike Afrika mashariki na kati kwa zaidi ya miaka mi5 mpaka 10 mfululizo.
-Atapata tunzo nyingi sana list sawa na waimbaji bora wa kike Africa nzima.