EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Ni kweli ila haswaa Mungu wa ajabu na uumbaji wake hauelezeki na katufanya tuwe wa ajabu, binadamu anatushangaa ila yeye anajua kwanini sisi ni waajabu kupenda kisichopendezwa na wengine.Ndio maana mkawa wa ajabu..
Ndio maana mkawa wa ajabu..
What the eyes doesn't admire, the heart does desire...Uummmh...nah!
Wanaume watu wa ajabu kweli kweli. Vanessa havutiii hataaaa ila kuna mtu halali huko
Huyu hapana aiseeKuna Mwingine Aisee hana nyama kabisa nahisi ngozi imekamatana na mifupa ..FLAVIANA MATATA.
Huyu anaumwa au ndo kushindika kula matango siku nzima ili kumaintain figa
Uummmh...nah!
Wanaume watu wa ajabu kweli kweli. Vanessa havutiii hataaaa ila kuna mtu halali huko
Wengine tumeamua kuurudia utukufu...lakini hizi chokochoko za hawa dada zetu kwenda mbinguni ni kazi sana.
View attachment 1003218View attachment 1003219View attachment 1003220View attachment 1003221View attachment 1003223View attachment 1003224
Ukiona hivyo ujue huyo jamaa atakua ni mfuga mbwa au mpika Makongoro.
Hilo nalitambua ndio maana nilipingana na mdau hapo juu aliposema hata akilala nae hamgusiSisi wanaume tunatafuna mpaka machizi so hilo lisikushangaze ... mara nyingi huwa tuna sex kwaajili ya kutoa genye
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Tena jamani, watu wanamponda Ila mie namuona anavutia kwa kweli, ningekuwa mwanaume ningependa kumnaniliuu
Iko hivyo .. but ina depends kwa baadhi ya watu sometimes ukiwa na manzi mzuri ni rahisi sana kuwaona wale wasio kuwa na mvuto kuwa sio kitu sio lolote .. but ikitokea mka breakup " so ndio huwenda ukajikuta una lala na mwanamke ambaye hakuvutii kutokana na msukumo wa genye tu "Hilo nalitambua ndio maana nilipingana na mdau hapo juu aliposema hata akilala nae hamgusi
Wengne vimodo ndo ugonjwa wetu,mitukunyema hapana kwakwel,..ila kangekua karef kdogo ndo kangebamba kabsaaUummmh...nah!
Wanaume watu wa ajabu kweli kweli. Vanessa havutiii hataaaa ila kuna mtu halali huko
Duuu hata kama ni umodel sio kwa UBETINA huo.
Utadhani hata ukimtongoza atakukubaliaMIMI MARS ana maziwa makubwa halafu tayari yanazomea ardhi....havutii