Vanessa Mdee huku ni kutuweka majaribuni sasa

Vanessa Mdee huku ni kutuweka majaribuni sasa

Kuna Mwingine Aisee hana nyama kabisa nahisi ngozi imekamatana na mifupa ..FLAVIANA MATATA.
Huyu hapana aisee
Screenshot_2019-01-10-19-57-46.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jf bana kila kitu watu wana nextlevel version yake ,
Ukitaja Harrier mtu anasema huo mkebe...
IST mwingine bora harrier... Vannesa mwingine anasema huyo mbaya mimi bora mars... ungeletwa uzi wa mimi mars mwingine utaskia bora shilole

Jf kituko sana hebu wekeni humu sura za wake zenu na usafiri mnaotumia muone watu watavyokula kona kwenda kuchekea chit chat [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo nalitambua ndio maana nilipingana na mdau hapo juu aliposema hata akilala nae hamgusi
Iko hivyo .. but ina depends kwa baadhi ya watu sometimes ukiwa na manzi mzuri ni rahisi sana kuwaona wale wasio kuwa na mvuto kuwa sio kitu sio lolote .. but ikitokea mka breakup " so ndio huwenda ukajikuta una lala na mwanamke ambaye hakuvutii kutokana na msukumo wa genye tu "

Hii ni kama simba kula majani akosapo nyama

Ila kuna wanaume wengine wao hata akiwa na mwanamke mzuri kiasi gani hilo halimzuii kulala na mwanamke asiye mvutia yeye anachotaka ni ku cum tu basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom