Vanessa Mdee: Jux hawezi kitu kitandani

Roho inamuuma kuona Jux kamove on na kifaa Cha Kithailand..kawa unfollow Hadi familia ya Jux na marafiki zake...
V pesa alijua jamaa yupo real nae sana na akatumia hio power kumfanya kituko flani hivi, and she thought it was fun kumliza jamaa miezi 8 kumbe ndio amempa strength ya kuishi bila yeye.

Awamu ya pili kazingua yeye sasa akapewa chai ati anaiona yamoto kweli 🤣🤣🤣 na atalia sana ***** kutoka bongo mpaka Thailand!!! Kazi nzuri sana baharia Jux
 
Ananikumbusha Jay dee na Gardner.

Jay dee alikua anaongea shit sana hatimae Gardner akachoka akatoa moja tu[emoji3][emoji3]
Kumkojolesha, Jaydee akakimbilia kushtaki kwamba kadhalilishwa
Halafu ndio ilivyogi, ukiona demu anakuponda baada ya kuachana ujue aliku abuse japo you were the best version to her. Ni kama haamini kama umeondoka kwenye circle yake ya maisha.🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Shows how weak the bitch is 😄
 
H
Tatizo wanawake wa siku hizi sheria inawalinda sn,wanatetewa sn. Vp nae Jux akitunga story kuwa papuchi yake yai vi...nza....vp hapo!! V-money atulie na aendelee na busara yake tuliyomzoea
Hahahah acha tu ila haikuzuii kumtolea mtu povu hasa kwa msanii.

Sema Jux ameact G kiukweli, no shitting on Vanessa kabisa na amemsifia kuwa ni bonge la manzi hata atakaempata atafurahia kuwa nae japo yeye hakufika nae mahali ambapo alitarajia wangefika. Kamuachia lawama Mungu tu 🤣🤣🤣

Sasa V money kuongea upuuzi juu ya mwamba ndio naposhangaa, kaona ampake tope jamaa ila its just none sense na ataendelea ku suffer kinoma🤣🤣🤣🤣🤣 it only shows how weak she is.
 
Wanawake akili yao wanaijua wao.
Unaweza ukaamua kutafuna papuchi kazikazi hapo ataenda kulalamika kwa wenzie "mwanaume gani yule hatosheki anataka kila siki halafu anapiga mapigo yaleyale utadhani kilasiku mechi ni fainali"

Ukiwa unapiga kishkaji unamuacha asichoke sana maana papara za nini kitu yako napo pia atalalamika.


Mwisho chochote utachofanya mwanamke lazima alalamike.
 
KIUKWELI SASA .., JUX ANA MWAGA MAZIWA YAKE , PAZURI ,ASEEEE DAH mtoto mkali .
 
jux kafanya jambo zuri sna

Sisi kama mabaharia tumuunge mkono kwa kwenda kutafuta stapus huko nje

Pongezi kwa awamu ya tano kwa kurahisisha maisha mpaka haya yanatokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…