kuvuta watavuta sana kubeba ni ngumu mana maisha ya mapunda huwa mazuri....cz nw bei ya trip itakua imepanda maradufu cku hizi wengi wamehamia kupeleka methadone sauzi hongkon n macau kuingia n mzigo ni ngumu
Huyu dada nilikuwa namuona anajielewa sana..I wish hii taarifa iwe ya uongo
Kama Jux ni mdau basi inaweza kuwa kweli..Mapenzi yana nguvu bro..Ndo yaleyale ya Ray cMkuu hii inaweza kuwa siyo kweli, ila nilivyoona ameanza kujihusisha na Jux niliona kama anapotea!
Nani???Daah hili n tatzo la kitaifa aisee kuna na yule mwanamuzk Wa gospel naye nackia anabwia nae
Hii taarifa ni ya uongo. Vanesa anajielewa kupita watu wanavyojuaHuyu dada nilikuwa namuona anajielewa sana..I wish hii taarifa iwe ya uongo
Akikaa mbali na Abby itamsaidia..Hii taarifa ni ya uongo. Vanesa anajielewa kupita watu wanavyojua
Hii taarifa ni ya uongo. Vanesa anajielewa kupita watu wanavyojua
Yule msanii nyota anayejitahidi kujimarket kimataifa, Vanessa Mdee amedaiwa kujitumbukiza katika matumizi ya madawa ya kulevya aina ya Heroin.
Vanessa anadaiwa kuanza kusniff baada ya kujiingiza katika mahusiano ya kimapenzi na msanii mwenzake (jina kapuni) anayedaiwa kujihusisha na kuuza madawa hayo nchini China.
Hili wimbi la wasanii kujitumbukiza katika kujidunga madawa ya kulevya linaonekana kushika kasi sana nchini Tanzania huku sababu haswa ikikosekana.
Atapukutika kama mti unavyopukutisha majani
Wasanii wana kazi sanaAiseeee job true true
Jina....hivi hapa jux anafaidi nini?
jina la nani?Jina....
Anafaidi tu kuwa naye vanesa tu...lakini pia hata mifupa ikichemshwa hutoa supujina la nani?
Hahahahahahaha mkuu umeniumiza mbavu zangu kwa kuchekaSasa ule mwili kama ulimbeba Hashim Thabit jamani utu tu unga tu dogo utamshinda kweli ??