UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,673
- 12,265
kuvuta watavuta sana kubeba ni ngumu mana maisha ya mapunda huwa mazuri....cz nw bei ya trip itakua imepanda maradufu cku hizi wengi wamehamia kupeleka methadone sauzi hongkon n macau kuingia n mzigo ni ngumu
Haha nimekuvulia kofia mkuu ,una info nyingi sana za ishu tofauti tofauti