Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

kuvuta watavuta sana kubeba ni ngumu mana maisha ya mapunda huwa mazuri....cz nw bei ya trip itakua imepanda maradufu cku hizi wengi wamehamia kupeleka methadone sauzi hongkon n macau kuingia n mzigo ni ngumu

Haha nimekuvulia kofia mkuu ,una info nyingi sana za ishu tofauti tofauti
 
Hii taarifa ni ya uongo. Vanesa anajielewa kupita watu wanavyojua

Huyo dada anabwia siku hizi. akizubaa hata endorsed deal zake zitakufa maana reputable company itafanya kazi na teja.
 
Yule msanii nyota anayejitahidi kujimarket kimataifa, Vanessa Mdee amedaiwa kujitumbukiza katika matumizi ya madawa ya kulevya aina ya Heroin.

Vanessa anadaiwa kuanza kusniff baada ya kujiingiza katika mahusiano ya kimapenzi na msanii mwenzake (jina kapuni) anayedaiwa kujihusisha na kuuza madawa hayo nchini China.

Hili wimbi la wasanii kujitumbukiza katika kujidunga madawa ya kulevya linaonekana kushika kasi sana nchini Tanzania huku sababu haswa ikikosekana.


We umezipata wap Hizi Habari
Tupe Chanzo
 
Hii habari inaonekana imemuuma sana v.money,maana kaona apost instagram hii thread!hivi kumbe hawa macelebrities huwaga wanatembeleaga hapa jf ee,cpati picha wanavojickiaga,maana vichambo vya humu si haba,vimeshiba haswaa na kuna wataalamu walobobea katika kutiatia chumvi na kukazia newz...mmmh,c mchezo!
 
hivi hapa jux anafaidi nini?


11372464_858100417560014_1919613596_n.jpg
 
kwani hana akili????? kwani n mtoto mdogo???????? atajibeba
 
Back
Top Bottom