From Adam to Jesus, Muhammad, hakuna Mtume wa Mungu amewahi kuimba muziki.
Hata wanawake wema akina Maria /Mariam etc.
Kuimba ni matendo ya kishetani, that's why it makes you HI, kama ngada tu.
Ndo maana ni addictive, kadri unavyopenda music ndivyo unavyochizika, unavyozidi kuwa HI na unavyozidi kuwa addictive na ndivyo unavyozidi kutekwa na shetani.
Ndivyo unavyozidi kukosa maana ya maisha, kupata depression na unahisi ujaribu kila kitu kutapatapa kufikia maana halisi ya maisha.
Asilimia zaidi ya 90 ya wanamuziki duniani wanatumia dawa kali za usingizi, za depression, vinywaji vikali sana au ngada na au majani ku keep the highness of music effects.
Wanawake ni watembea uchi, lesbians, wanaume mashoga etc hawastahiki kuwa role models wa jamii. Sio asili ya binadam kuonesha uchi mbele ya kadamnasi, ukifanya hivyo lazima utawehuka.
Kwangu mimi, music sio talent, ni upuuzi tu, ndo maana sasa hivi kila mjinga alokosa maarifa anafanya Lip syncing ya pre recorded sound tracks anaitwa mwanamuziki, na wehu wanajaa kushangilia.
Not coincidence kwamba majority ya musicians destine to a similar fate.