UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,673
- 12,265
Teh teh cheka tu mkuu siku zisogeeHahahahahahaha mkuu umeniumiza mbavu zangu kwa kucheka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh cheka tu mkuu siku zisogeeHahahahahahaha mkuu umeniumiza mbavu zangu kwa kucheka
Unamjua aliyeimba ni bebe... Npeleke mbele kwa bwanaNani???
Kwann hamumtaji hyo mnayesema ni rafiki yake wa kiume kama ni mtanzania atumbuliwe jipu kabla halijawa chungu kwa hyu binti?Je, unajua kama mpenzi wake ni dealer kwenye hiyo biashara?
Mkuu ukiwa unauza sigara kuna baadhi ya wateja watakwambia niwashie.
Labda anakuwaga kwenye kitengo cha kutest ubora!
Weeeee...usinambie!!!Unamjua aliyeimba ni bebe... Npeleke mbele kwa bwana
Hl n janga la taifa mkuuWeeeee...usinambie!!!
Misemo imepitwa na wakati hiyo, "lisemwalo lipo"???? inamaana kukiwa na uzushi negative juu yako eg. ushoga hata kama in uongo, kwasababu tu "limesemwa" lipo???
Duuu hadi huyu mwimba kwaya wa zamani pale st pater na Demu wa zamani wa hashim thabeet???Mbona wengi sio huyo tu mpk yule mwenye kinukta usoni..
Ukweli au uongo wa JF huwa unajidhihirisha ikipita miaka kama miwili, kuna issues nyingi huwa zinaongewa JF zinachukuliwa kama udaku lakini mwisho wa siku ukweli unakuja kujulikana, Kina Ngwea, Langa, Mabovu ni mifano yao, thread zao zilikuwepo humu kabla hayajawakutaNiko nae hapa. Anapinga vikali shutuma hizo
Jamani Jamani. Daaah! Inasikitisha sana kwakwelihii issue niliambiwa na ex addict mmoja akaniambia kwamba huyu demu huwa anajitetea eti anatumia wakati akiwa analala..very sad