Hali ya maisha mitaani katika mikoa mingi Tanzania ni mbaya sana!! Maadili yanashuka kwa kasi ya ajabu, wimbi la vijana mashoga sasa ni kama kimbunga, jamii inateketea mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 5 sasa anamjua mwanaume!! Binadamu now wanakula Unga kama nyoka tena hadharani mno (ndani ya club flani Dar nimeshuhudia watu wananusa meza) bila uwoga!Tunakoenda ni kubaya mno nadhani hata kuzimu ni pazuri!
Hawa wasanii ndio "ma-role model" wa mabinti zetu na vijana wetu hivyo kwa kiasi kikubwa ni lazima watacopy mengi tu (hata kama sio yote). Na siku hizi watu wazima wengi nao wanajifanya watoto wanaume kwa wanawake!! Inaogopesha mno!