Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

Yule msanii nyota anayejitahidi kujimarket kimataifa, Vanessa Mdee amedaiwa kujitumbukiza katika matumizi ya madawa ya kulevya aina ya Heroin.

Vanessa anadaiwa kuanza kusniff baada ya kujiingiza katika mahusiano ya kimapenzi na msanii mwenzake (jina kapuni) anayedaiwa kujihusisha na kuuza madawa hayo nchini China.

Hili wimbi la wasanii kujitumbukiza katika kujidunga madawa ya kulevya linaonekana kushika kasi sana nchini Tanzania huku sababu haswa ikikosekana.
ile sauti inatia mashaka
 
Hali ya maisha mitaani katika mikoa mingi Tanzania ni mbaya sana!! Maadili yanashuka kwa kasi ya ajabu, wimbi la vijana mashoga sasa ni kama kimbunga, jamii inateketea mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 5 sasa anamjua mwanaume!! Binadamu now wanakula Unga kama nyoka tena hadharani mno (ndani ya club flani Dar nimeshuhudia watu wananusa meza) bila uwoga!Tunakoenda ni kubaya mno nadhani hata kuzimu ni pazuri!

Hawa wasanii ndio "ma-role model" wa mabinti zetu na vijana wetu hivyo kwa kiasi kikubwa ni lazima watacopy mengi tu (hata kama sio yote). Na siku hizi watu wazima wengi nao wanajifanya watoto wanaume kwa wanawake!! Inaogopesha mno!
OMG !! Ndg. umenishtua na kunipa hofu kubwa ..Very Sad !! TZ imefikia hapo !! Turudi kwa Mungu "fear God"
 
achana na misemo ya kwenye makaratasi,umemuona msanii gani akiwa role model?
 
Maisha ya mtu anajichagulia mwenyewe,,,,hongera Vanessa keep it up utajuta baadae kama sio kuondoka duniani
 
Yule msanii nyota anayejitahidi kujimarket kimataifa, Vanessa Mdee amedaiwa kujitumbukiza katika matumizi ya madawa ya kulevya aina ya Heroin.

Vanessa anadaiwa kuanza kusniff baada ya kujiingiza katika mahusiano ya kimapenzi na msanii mwenzake (jina kapuni) anayedaiwa kujihusisha na kuuza madawa hayo nchini China.

Hili wimbi la wasanii kujitumbukiza katika kujidunga madawa ya kulevya linaonekana kushika kasi sana nchini Tanzania huku sababu haswa ikikosekana.
freemanson kazini?
 
Wameshatupia picha ya Vanessa maana nilikuwa simjui bado picha ya jux maana huyu simjui
 
lakini unga mtamu aisee...unaposniff unasikia raha mpaka vinyweleo vinasisimka...ukiwa na hela wala haukupi tabu ..south afica mpaka mawaziri wanatumia sana..
 
achana na misemo ya kwenye makaratasi,umemuona msanii gani akiwa role model?

Maybe unataka ligi za mchangani mkuu!! Au maybe unajifanya Kipofu ilhali u naona vizuri tu!
Nenda Instagram fuatilia account za mabinti hasa wa 15 to 30 wengi wao wana struggle kuwa kama Wema, Zari, n.k lakini pia mfano mzuri ni yule Rachel alieimba wimbo wa kizunguzungu, huyu alisema kabisa anatamani sana kuwa kama Ray C na tayari habari yake ya uteja nadhani unaifahamu! !

Na hiyo msemo ya kwenye makaratasi sijui unaongelea msemo gani maana naishi ndani ya mazingira ambayo nawaona vijana wavulana kwa wasichana wote kwa pamoja wanavyokumbwa na kasi ya kuiga majanga! No body wants to be innocent anymore they all want to be bad boys and bad ass bitches!!
 
OMG !! Ndg. umenishtua na kunipa hofu kubwa ..Very Sad !! TZ imefikia hapo !! Turudi kwa Mungu "fear God"

Mkuu hali ni mbaya sana mfano jana nilikua sehemu nasikiliza kesi hizi za kifamilia mama hamuelewi mwanae wa kiume wa miaka 15 mama anasema mwanae ana mambo mengi ya kike na amemtamkia mzazi wake kheri awe mwanamke kuliko kuwa wa kiume kaulizwa sababu akasema ameshazoea huo mchezo eti baba yake mzazi alianza kumfanyia hivyo since akiwa class 4 (now kamaliza class 7.)

Huyu kijana alikuwa anaishi na baba yake baada ya wazazi wake kutengana now baba ametangulia mbele ya haki kijana karudi kuishi na Mama yake!

Hataki kuendelea na secondary anataka kufanya kazi saloon ya kike!!

Visa ni vingi mno mno!
 
Ngoja Tyrone maana kama naamini maana kujichetua kumezidi saiv
 
Back
Top Bottom