upupu
JF-Expert Member
- Apr 15, 2008
- 614
- 198
Kwanza hongera kwa nyimbo yako mpya never ever ni nzuri, hata video yako ina quality nzuri ila nimepata ukakasi kidogo na mavazi vile vichupi mle ndani tena vimeloana na maji naona si sawa, hasa kwa watoto wadogo wanaotazama.
Labda kama ulilenga watu wazima pekee. Ingekuwa Kenya isingeruhusiwa kwenye Tv zake.
=============
Kwanini wanakopy majina ya nyimbo za mbele
Never Ever - Ciara
Oooh Na Na -- Treyz
Oo Nana - Diamond
Majina ya nyimbo huwa yanajirudia wewe, acha hizo
Last edited by a moderator: