Vanessa Mdee ~ Never Ever: Video nzuri, lakini ina ukakasi

Vanessa Mdee ~ Never Ever: Video nzuri, lakini ina ukakasi

Kwanza hongera kwa nyimbo yako mpya never ever ni nzuri, hata video yako ina quality nzuri ila nimepata ukakasi kidogo na mavazi vile vichupi mle ndani tena vimeloana na maji naona si sawa, hasa kwa watoto wadogo wanaotazama.

Labda kama ulilenga watu wazima pekee. Ingekuwa Kenya isingeruhusiwa kwenye Tv zake.

=============



Kwanini wanakopy majina ya nyimbo za mbele
Never Ever - Ciara
Oooh Na Na -- Treyz
Oo Nana - Diamond

Majina ya nyimbo huwa yanajirudia wewe, acha hizo
 
Last edited by a moderator:

kiba lazima avune alichopanda subiri kill music awards ndio ujue alitukasirisha kumpigia debe magufuli
diamond ni ccm na hilo liko wazi ila kiba ambaye alionesha ni mtu wa watu, na watu ni ukawa mwishoe akaenda kwa magufuli....plz namchukia diamond ila kiba staki hat kumwona

ikianza kili music award nitamkosesha kiba zaidi ya kura mia sita...nitaishawishi jumuiya yangu kuachana na KIBA KWA USALITI WAKE
Marytina!!!!???
 
Last edited by a moderator:
Mi ctaki hata kumwona watu ka kina domo mziki umewanufaisha sana sasa ni hela gani ambazo haendelei tena yeye wa kitambo. Ingekuwa wanapewa mamilion umaskini ungewaisha wasanii wote.
Kuna watu watasema kila mtu ana uamuzi wake na Uhuru ila this time consequences wataipata

Well said !!!!....they will suffer the consequences.
 
vichupi ndio vinavutia kwenye soko la kimataifa... haah kichupi kinanoga kwenye figure flan hivi ila kwa v mmh
 
WImbo huu ni mbovu hatari, uthungu mwingi, eti anatangaza Tanzania shame shame, heri hata snura au shilole, huyu wanambeba tu, mi jana nimepatwa na hasira eti kamebeba Afrimma,

Mwanamziki ni KingKiba tu. Na wimbo bora ni #Nagharamia tu
haaah kibakuli hamna kitu n nakuapia haji pata tuzo yule chalii
 
vichupi ndio vinavutia kwenye soko la kimataifa... haah kichupi kinanoga kwenye figure flan hivi ila kwa v mmh

Mhh hata kama aoa flat screen , still vichupi havina mchango wowote kimataifa
 
Kama wazazi wake wangeoneshwa hiki anachofanya leo wasingemzaaa, maana kiukweli anawaaibisha na kumuaibisha yule aliemuumba
 
nazani ni ngumu kumridhisha kila mtu-so vanesa aachwe afanye anachotaka,maana naamin hata vaa ya makhirikhiri haikua nzuri sana lakini walikuwa famous
 
msanii anapimwa kwa mistar yake, ila vanesa kaona ajioneshe vipapatio vyake kama mbu ndio aheat! co nyimbo ile ni porn. cjui wazazi na ndugu zake wanajickiaje.
 
Kama wazazi wake wangeoneshwa hiki anachofanya leo wasingemzaaa, maana kiukweli anawaaibisha na kumuaibisha yule aliemuumba

Kajiacha uchi mno kiukweli mbona ni mzuri hakukua na haja ya kukaa nusu uchi otherwise angeuweka ni age ipi waiangalie hyo video
 
Kajiacha uchi mno kiukweli mbona ni mzuri hakukua na haja ya kukaa nusu uchi otherwise angeuweka ni age ipi waiangalie hyo video

Inabidi tuanze kuwaelimisha vizuri hawa watu.. God never created them to be who they are now, their bodies are the temple of God....
 
Back
Top Bottom