Vannesa Mdee: Sipendi kupika

Kwaio ni ishu ya ujiko yeye kujifanya afagilii mambo ya jikoni?? ndio ukishua huo?

Najaribu kusoma comments za wanajamvi nmegundua tunamjudge vanessa kwa kutumia framework za maisha yetu...wengi wetu tumezaliwa kwenye vijiji vya ujamaa huko nyamisati tunamponda vanesa ambae kazaliwa njiro akasoma kiwanja akarudi akaenda kuish south... In short alichosema vanessa hata mabinti wengi ulaya huwa wanakisema.. The gel is just blak bt ni mzungu. Hebu tukubali vanessa hata st kayumba hajui ni nini.
 
unamanisha nn mkuu..mtoto wa watu au.....

Milard ni mtoto wa ordinary people but he is catching up.. Anabadilika ana adabu kwa watu anachapa kazi sana na ni God fearing person. In fact he is gentleman.. Kwa hiyo issue ya vanessa kutokupenda kupika haliwezi kumnyima usingizi milard. Kama kuna mtu hatamuoa vanessa kisa hapendi kupika mamantilie wapo wengi asimng'ang'anize vee mtoto wa kishua.
 
kumbe na wewe kichwani bure kabisa, shake well before use.

what is special ukiishi ulaya? unawaona wale wacheza soka wa ulaya wakirudi afrika wanakuwa na hayo mashauzi? wale wanapokea zaidi ya millioni 200 kwa wiki sembuse huyu ushuzi?
 
Nitajie mchezaji ambae akirud kutoka ulaya anakuja kupika.. Acha upuuzi wewe..
 
Mwanamke wajisifu hupendi kupika!!!? Nahisi hata kuiosha ni hivyo hivyo kiuvivu!

Yo a hook girl!
 
kumbe na wewe kichwani bure kabisa, shake well before use.

what is special ukiishi ulaya? unawaona wale wacheza soka wa ulaya wakirudi afrika wanakuwa na hayo mashauzi? wale wanapokea zaidi ya millioni 200 kwa wiki sembuse huyu ushuzi?

Ha ha ha ha ha.....

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Nakula pia naona hajui ndio maana figure 1 Oprah millionea anapika kwa kuwa mwanamke
 
kumbe na wewe kichwani bure kabisa, shake well before use.

what is special ukiishi ulaya? unawaona wale wacheza soka wa ulaya wakirudi afrika wanakuwa na hayo mashauzi? wale wanapokea zaidi ya millioni 200 kwa wiki sembuse huyu ushuzi?

asanteeeee
 
kupika chakula hawezi ila kupika majungu nambari moko...
 
mpuuzi mkubwa ni wewe visenti vya zitto kabwe huvipati tena sasa umegeuka kuwadi wa manyani, kwa akili hizi wazungu wakiwapa ndizi msiwe mnashangaa, Queen Elizabeth herself anapika huyu sembuse huyu gorilla?

Weweee stop bringing the problems of 90's to 2 thou. Hebi nitajie ni lini ulimuona malkia elizabeth akipika... Hizi stori za vijiweni mnatuletea...acha mawazo mgando wewe hata ukienda hapo misri tu.. Wanawake huwa sio kazi yao kupika. Mnakariri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…