Vannesa Mdee: Sipendi kupika

dictionary pleaaaaaaase...!
 
Kwani Vannesa Mdee ndo nani jamani??????
Au ni mdogo wake na Mheshimiwa Halima Mdee???????
Tuwekeeni picha tumuone huyo ambaye hajui kupika maana ushingae kesho akiviambia vyombo vya habari kwamba Haendagi Chooni maana duuuuuh.
 
Yupo mluga mluga mmoja hivi kawaida thanaaaaaaa
 
Kwani Vannesa Mdee ndo nani jamani??????
Au ni mdogo wake na Mheshimiwa Halima Mdee???????
Tuwekeeni picha tumuone huyo ambaye hajui kupika maana ushingae kesho akiviambia vyombo vya habari kwamba Haendagi Chooni maana duuuuuh.

Nimekupenda buree binamu, vannesa ni cheusi dawa mmoja ivi tu hana shughuli apa mjini , siku izi nasikia mwanamizik,mara mtangazajazi mara MC ***** maisha yashampiga atahangaika sana mwak huu, nasikia ni jiran na akina Dinazarde kule mwanza
 
Last edited by a moderator:

Aanze tu kuigizaas mzikii haulipiiu kihivyoooo
 
Last edited by a moderator:

Si ajabu kusikia akili hii imepita chuo kikuu na kichwa kinamiliki degree...

Nyie nyie ndo tunawasikia mkipiga siasa ati mwataka uongozi...

kwa akili hii na uchambuzi huu Kama ndo hazina ya TZ inasafari ndefu
 
Basi baada ya kujibu akaona ametoa mpya mwenyewe. . Amechemsha kwa kweli. Nampatia picha na zile kaptula zake za maskio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…