wamepewa magoli mangap na var? na wapinzani wa liver wamenyimwa magoli mangap na var?VAR inawapa favor zaidi liverpool kwa sasa japo kuwa wana kikosi bora kuliko timu nyingine yoyote Epl na binafsi naamini hata bila haya makandokando ya VAR bado wangeweza kuchukua ubingwa. Ila EPL wangejitahidi kupunguza interest za kibiashara zaidi na wa balance bussiness na burudani kwa pamoja kuliko huu mtindo wa kuyapanga matokeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo una kichaa cheki hiyo vs Aston VillaToka ligi ianze hakuna magoli yaliyofungwa na liver VAR ikayakataa na yakafutwa?
Kama hawajakuelewa basi wana vichwa vigumuKama uliangalia game ya Liverpool na Aston Villa kwenye EPL, Roberto Firmino alifunga goli VAR ikasema sio goli.
Kwani ile game ya Liverpool na Man U Origi alivyokwatuliwa halafu mpira ukaelekea kwa Liver kisha Liver wakafungwa VAR iliwabeba Liver?
Tuwe tuna balance matukio, kama ingekuwa wanabebwa kama mnavyoamini ilitakiwa Waamuzi na wanaokuwa control room ya VAR waadhibiwe maana sio Liver wanaotoa hayo maamuzi au mlitaka Liver wakatae magoli yanayoamuliwa na VAR?
VAR sio kwa ajili ya kuruhusu magoli au kukataa magoli peke yake, VAR ni kwa ajili ya kusaidia referee kufanya maamuzi pale panapo onekana kuwa na utata katika tukio lolote kwenye mpira. Utata unapo kuja mfano game ya man city TAA alishika mpira ndan ya box na man city walionekana kuomba usaidizi kwa referee lakini referee hata kusimamisha mpira ili akajiridhishe na maamuzi yaliyo fanyika hataki na anakuambia kanyaga twende[emoji28][emoji28]wamepewa magoli mangap na var? na wapinzani wa liver wamenyimwa magoli mangap na var?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati yangu mimi na wewe nani ana kichaa? Kama umeshimdwa kuelewa mimi na wewe wote tunatetea ukweli sasa nani ana kichaa?Dogo una kichaa cheki hiyo vs Aston Villa
Kati yangu mimi na wewe nani ana kichaa? Kama umeshimdwa kuelewa mimi na wewe wote tunatetea ukweli sasa nani ana kichaa?