VAR inaleta utata na kuacha maswali mengi sana

VAR inaleta utata na kuacha maswali mengi sana

VAR inawapa favor zaidi liverpool kwa sasa japo kuwa wana kikosi bora kuliko timu nyingine yoyote Epl na binafsi naamini hata bila haya makandokando ya VAR bado wangeweza kuchukua ubingwa. Ila EPL wangejitahidi kupunguza interest za kibiashara zaidi na wa balance bussiness na burudani kwa pamoja kuliko huu mtindo wa kuyapanga matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
wamepewa magoli mangap na var? na wapinzani wa liver wamenyimwa magoli mangap na var?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini pia mbona Mane alikataliwa goli lake na Watford kama sikosei.
 
IMG_20191229_224918.jpg


IMG_20191229_224921.jpg


VAR affected even LiverpoolFc.
 
Kama uliangalia game ya Liverpool na Aston Villa kwenye EPL, Roberto Firmino alifunga goli VAR ikasema sio goli.

Kwani ile game ya Liverpool na Man U Origi alivyokwatuliwa halafu mpira ukaelekea kwa Liver kisha Liver wakafungwa VAR iliwabeba Liver?

Tuwe tuna balance matukio, kama ingekuwa wanabebwa kama mnavyoamini ilitakiwa Waamuzi na wanaokuwa control room ya VAR waadhibiwe maana sio Liver wanaotoa hayo maamuzi au mlitaka Liver wakatae magoli yanayoamuliwa na VAR?
Kama hawajakuelewa basi wana vichwa vigumu
 
VAR imekuwa ikifanya maamuzi ya kisenge tu, nadhani waamuzi wanao review wasingeshiriki kufanya maamuzi. Wamuache refa wa kati atazame mwenyewe na kuamua. Lengo sio hizi offside za vipimo vya maabara.

Bora hata spain wanajitahid kuitumia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wamepewa magoli mangap na var? na wapinzani wa liver wamenyimwa magoli mangap na var?

Sent using Jamii Forums mobile app
VAR sio kwa ajili ya kuruhusu magoli au kukataa magoli peke yake, VAR ni kwa ajili ya kusaidia referee kufanya maamuzi pale panapo onekana kuwa na utata katika tukio lolote kwenye mpira. Utata unapo kuja mfano game ya man city TAA alishika mpira ndan ya box na man city walionekana kuomba usaidizi kwa referee lakini referee hata kusimamisha mpira ili akajiridhishe na maamuzi yaliyo fanyika hataki na anakuambia kanyaga twende[emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom