dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,906
- 8,243
wamepewa magoli mangap na var? na wapinzani wa liver wamenyimwa magoli mangap na var?VAR inawapa favor zaidi liverpool kwa sasa japo kuwa wana kikosi bora kuliko timu nyingine yoyote Epl na binafsi naamini hata bila haya makandokando ya VAR bado wangeweza kuchukua ubingwa. Ila EPL wangejitahidi kupunguza interest za kibiashara zaidi na wa balance bussiness na burudani kwa pamoja kuliko huu mtindo wa kuyapanga matokeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app