Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Kuelekea kwenye mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAFCC) kati ya Simba SC dhidi ya Orlando Pirates ambao unatarajiwa kupigwa April 17, 2022 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, waamuzi watatumia msaada wa video (Video Assistant Referee-VAR) ili kuhakikisha maamuzi yanafanyika kwa usahihi.
Tayari orodha ya waamuzi wa mchezo huo imeshajulikana sambamba na wale watakao ongoza VAR.
1. Referee: Hythem Guirat (Tunisia)
2. Assistant Referee 1: Khalil Hassan (Tunisia)
3. Assistant Referee 2: Samuel Pwatudakam (Nigeria)
4. Fourth Official: Sadom Selmi (Tunisia)
5. Video Assistant Referee VAR 1: Ahmed Elghandaur (Misri) 2: Youssef Wahid Youssef ( Misri)
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), tayari limetoa taarifa kwa kila ambaye anahusika na mchezo huo ikiwa pamoja na vilabu juu ya uwepo wa matumizi ya VAR kwenye mchezo huo.
VAR itatumika kwenye mechi zote za timu zilizofuzu hatua ya Robo Fainali ya michuano ya CAF.
View attachment 2180121