VAR kutumika kwenye mchezo wa CAFCC kati ya Simba SC dhidi ya Orlando Pirates Uwanja wa Benjamin Mkapa

VAR kutumika kwenye mchezo wa CAFCC kati ya Simba SC dhidi ya Orlando Pirates Uwanja wa Benjamin Mkapa

Nakumbuka Mwigulu aliposema serekali italeta VAR makolo na mlinzi wao TFF ndio walishinda mitandaoni wakipinga.
Leo imekuaje?

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Kwani inaletwa kwa ajili ya Ligi Kuu Tanzania?

Hiyo ni CAF wenyewe kwenye michezo yote ya robo fainali CAFCL na CAFCC.

Mbona ni ngumu kuelewa..! Walipinga walikuwa na hoja watengeneze kwanza viwanja kwa kuwa asilimia kubwa viwanja ni vibovu, ukitoa Mkapa, Azam Complex na CCM Kirumba, sasa kama ikifungwa je hivi viwanja vingine hawana haki ya kupata maamuzi sahihi?
 
Wamekosea sana. VAR haikuhitajika. Walihitajika walinzi wakulinda marefa na vyumba vya kubadilishia. Vikaguliwe kabla wageni hawajaingia na walinde kolo yeyote asisogelee eneo hilo.
Kwani siku hizi wanapulizia yale manukato mechi ikishaanza. Ndio sababu ushindi wao hutegemea na ujanja uliofanyika.

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Akili za Manara huwa hazijifichi kamwe..!
 
Kwani inaletwa kwa ajili ya Ligi Kuu Tanzania?

Hiyo ni CAF wenyewe kwenye michezo yote ya robo fainali CAFCL na CAFCC.

Mbona ni ngumu kuelewa..! Walipinga walikuwa na hoja watengeneze kwanza viwanja kwa kuwa asilimia kubwa viwanja ni vibovu, ukitoa Mkapa, Azam Complex na CCM Kirumba, sasa kama ikifungwa je hivi viwanja vingine hawana haki ya kupata maamuzi sahihi?
bado sijajua, hiyo VAR baada ya mechi itaendelea kuwepo?
 
Maana yake ni kwamba Mechi za Utopolo hazina hadhi ya VAR?
 
Kuelekea kwenye mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAFCC) kati ya Simba SC dhidi ya Orlando Pirates ambao unatarajiwa kupigwa April 17, 2023 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, waamuzi watatumia msaada wa video (Video Assistant Referee-VAR) ili kuhakikisha maamuzi yanafanyika kwa usahihi.

Tayari orodha ya waamuzi wa mchezo huo imeshajulikana sambamba na wale watakao ongoza VAR.

1. Referee: Hythem Guirat (Tunisia)
2. Assistant Referee 1: Khalil Hassan (Tunisia)
3. Assistant Referee 2: Samuel Pwatudakam (Nigeria)
4. Fourth Official: Sadom Selmi (Tunisia)
5. Video Assistant Referee VAR 1: Ahmed Elghandaur (Misri) 2: Youssef Wahid Youssef ( Misri)

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), tayari limetoa taarifa kwa kila ambaye anahusika na mchezo huo ikiwa pamoja na vilabu juu ya uwepo wa matumizi ya VAR kwenye mchezo huo.

VAR itatumika kwenye mechi zote za timu zilizofuzu hatua ya Robo Fainali ya michuano ya CAF.
View attachment 2180121
Duuh 2023? sio kwel
 
Back
Top Bottom