Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Hakika Aden Rage alikuwa sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani inaletwa kwa ajili ya Ligi Kuu Tanzania?Nakumbuka Mwigulu aliposema serekali italeta VAR makolo na mlinzi wao TFF ndio walishinda mitandaoni wakipinga.
Leo imekuaje?
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Akili za Manara huwa hazijifichi kamwe..!Wamekosea sana. VAR haikuhitajika. Walihitajika walinzi wakulinda marefa na vyumba vya kubadilishia. Vikaguliwe kabla wageni hawajaingia na walinde kolo yeyote asisogelee eneo hilo.
Kwani siku hizi wanapulizia yale manukato mechi ikishaanza. Ndio sababu ushindi wao hutegemea na ujanja uliofanyika.
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
bado sijajua, hiyo VAR baada ya mechi itaendelea kuwepo?Kwani inaletwa kwa ajili ya Ligi Kuu Tanzania?
Hiyo ni CAF wenyewe kwenye michezo yote ya robo fainali CAFCL na CAFCC.
Mbona ni ngumu kuelewa..! Walipinga walikuwa na hoja watengeneze kwanza viwanja kwa kuwa asilimia kubwa viwanja ni vibovu, ukitoa Mkapa, Azam Complex na CCM Kirumba, sasa kama ikifungwa je hivi viwanja vingine hawana haki ya kupata maamuzi sahihi?
Ndio, itasubiri nusu fainali .bado sijajua, hiyo VAR baada ya mechi itaendelea kuwepo?
Duuh 2023? sio kwelKuelekea kwenye mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAFCC) kati ya Simba SC dhidi ya Orlando Pirates ambao unatarajiwa kupigwa April 17, 2023 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, waamuzi watatumia msaada wa video (Video Assistant Referee-VAR) ili kuhakikisha maamuzi yanafanyika kwa usahihi.
Tayari orodha ya waamuzi wa mchezo huo imeshajulikana sambamba na wale watakao ongoza VAR.
1. Referee: Hythem Guirat (Tunisia)
2. Assistant Referee 1: Khalil Hassan (Tunisia)
3. Assistant Referee 2: Samuel Pwatudakam (Nigeria)
4. Fourth Official: Sadom Selmi (Tunisia)
5. Video Assistant Referee VAR 1: Ahmed Elghandaur (Misri) 2: Youssef Wahid Youssef ( Misri)
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), tayari limetoa taarifa kwa kila ambaye anahusika na mchezo huo ikiwa pamoja na vilabu juu ya uwepo wa matumizi ya VAR kwenye mchezo huo.
VAR itatumika kwenye mechi zote za timu zilizofuzu hatua ya Robo Fainali ya michuano ya CAF.
View attachment 2180121
Vipi na nyie utopolo mmenunua TFF yoteSimba wanashindaga kimchongo hapa wamekamatwa
Wivu tu
Watu hawatalala kisa wivuMkuu Mzalendo_Mkweli usisumbuke soma hii taarifa kutoka Shirikisho la Soka Tanzania TFFView attachment 2180643
sasa watasema VAR imeipendelea simbaYanga wataandamana maana CAF inaipendelea Simba.
Ndio wanachosema. Hawaishiwi visababu.sasa watasema VAR imeipendelea simba