VAR kutumika kwenye mchezo wa CAFCC kati ya Simba SC dhidi ya Orlando Pirates Uwanja wa Benjamin Mkapa

VAR kutumika kwenye mchezo wa CAFCC kati ya Simba SC dhidi ya Orlando Pirates Uwanja wa Benjamin Mkapa

YANGA/CCM FC wazee wa ligi ya mchangani wanatoooooooomb..... [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mkuu Ghazwat Salam. Unaweza kuweka Source ya hii habari tafadhali? Je kazi ya kuandaa miundombinu kwa ajili ya VAR itagharimiwa na nani?

Ahsante
Mkuu Mzalendo_Mkweli usisumbuke soma hii taarifa kutoka Shirikisho la Soka Tanzania TFF
20220408_164359.jpg
 
Simba wameileta V.A.R bongo

Wa kimataifa.
 
Haya ndo mambo tunayataka kutoka CAF.

Asante Simba SC kwa kuwa Klabu ya Kwanza Tanzania kucheza huku mfumo wa VAR ukitumika.

Tukisema Next Level tunamaanisha hivyo yaani.
Nakumbuka Mwigulu aliposema serekali italeta VAR makolo na mlinzi wao TFF ndio walishinda mitandaoni wakipinga.
Leo imekuaje?

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
CAF wameona kwa hapa Bongo kwenye mechi za kimataifa VAR waanze na Simba alafu wengine watajijua.
Wamekosea sana. VAR haikuhitajika. Walihitajika walinzi wakulinda marefa na vyumba vya kubadilishia. Vikaguliwe kabla wageni hawajaingia na walinde kolo yeyote asisogelee eneo hilo.
Kwani siku hizi wanapulizia yale manukato mechi ikishaanza. Ndio sababu ushindi wao hutegemea na ujanja uliofanyika.

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom