VAR kutumika kwenye mchezo wa CAFCC kati ya Simba SC dhidi ya Orlando Pirates Uwanja wa Benjamin Mkapa

Haya ndo mambo tunayataka kutoka CAF.

Asante Simba SC kwa kuwa Klabu ya Kwanza Tanzania kucheza huku mfumo wa VAR ukitumika.

Tukisema Next Level tunamaanisha hivyo yaani.
Nakazia📌📌📌
 
CAF wameona kwa hapa Bongo kwenye mechi za kimataifa VAR waanze na Simba alafu wengine watajijua.
Siyo kuanza na Simba bali mechi zote za CAFCL na CAFCC kuanzia robo fainali hii VAR itatumika.

Mbona andiko linasomeka vizuri Sana? Ila si kosa lako wewe Ni utopolo, na Hakuna utopolo mwenye Akili.
 
Siyo kuanza na Simba bali mechi zote za CAFCL na CAFCC kuanzia robo fainali hii VAR itatumika.

Mbona andiko linasomeka vizuri Sana? Ila si kosa lako wewe Ni utopolo, na Hakuna utopolo mwenye Akili.
Hujaelewa nini na wewe! Huyo ni Msimbazi na kasema kwa hapa Bongo wanaanza na Simba..
 
Safi sana,

Sisi mashabiki wa Msimbazi tunawaomba CAF waiache hiyo mashine hadi game yetu na mzee wa kuandaliwa ubingwa wa Mchongo kwa maelekezo kutoka TFF upite kwanza ili tumpate mbabe wa kweli.

Naamini Simba tutaiandikia CAF barua kuomba kibali cha kuitumia hiyo mashine siku ya mechi yetu.
 
Wamchunge Mzee wa Kitochi aka Mwina Kaduguda asije akaiiba.
 
simba na VAR mmhhhh, sasa mambo hadharani wakapambane na hali yao
 

Mkuu Ghazwat Salam. Unaweza kuweka Source ya hii habari tafadhali? Je kazi ya kuandaa miundombinu kwa ajili ya VAR itagharimiwa na nani?

Ahsante
 
Mazingira yote simba atashinda, walikuwa wanasema ikija VAR Simba hawezi shinda

Sasa wajionee pamoja na hiyo VAR mnyama anamchapa mtu goli 3 note my words
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…