VAR kutumika kwenye mchezo wa CAFCC kati ya Simba SC dhidi ya Orlando Pirates Uwanja wa Benjamin Mkapa

YANGA/CCM FC wazee wa ligi ya mchangani wanatoooooooomb..... [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Simba wameileta V.A.R bongo

Wa kimataifa.
 
Tunaishukuru sana Simba kwa kutuletea VAR.
Tunamshukuru Rais Magufuli (Jemedari wa Afrika) kwa kutuletea VAR Tanzania. Iliiagiza CAF hii kabla hajaondoka sema ilichelewa tu kidogo.
 
Haya ndo mambo tunayataka kutoka CAF.

Asante Simba SC kwa kuwa Klabu ya Kwanza Tanzania kucheza huku mfumo wa VAR ukitumika.

Tukisema Next Level tunamaanisha hivyo yaani.
Nakumbuka Mwigulu aliposema serekali italeta VAR makolo na mlinzi wao TFF ndio walishinda mitandaoni wakipinga.
Leo imekuaje?

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
CAF wameona kwa hapa Bongo kwenye mechi za kimataifa VAR waanze na Simba alafu wengine watajijua.
Wamekosea sana. VAR haikuhitajika. Walihitajika walinzi wakulinda marefa na vyumba vya kubadilishia. Vikaguliwe kabla wageni hawajaingia na walinde kolo yeyote asisogelee eneo hilo.
Kwani siku hizi wanapulizia yale manukato mechi ikishaanza. Ndio sababu ushindi wao hutegemea na ujanja uliofanyika.

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…