Vasectomy inataka kuleta balaa!

Hivi Bishanga TF, DA na Rocky wamemaliza mjadala... naruhusiwa kutoa ushauri saizi??

Mhh nasubiria wako bana maana wengine wote washaanza mambo yao na Bebii naona anataka aniletee visa vyake hapa
 
nasikia ulikuwa unajipima skin jeans za kike

Katuwekea masharobaro wa kiume wale maana wale sio wanaume ila watoto wa kiume wamevaa skin jeans na wamesimama kiajabu kama wako show room
 
Katuwekea masharobaro wa kiume wale maana wale sio wanaume ila watoto wa kiume wamevaa skin jeans na wamesimama kiajabu kama wako show room
Dah!!! Ngoja nikija huko nakuleta moja rangi nyekundu
 
Hapo juu sitawajibu mpaka Wifi yangu Dena aniruhusu.. who are you to make me defy
my wifi?? (@Bebii - Kumbe!! @Rocky - Najipanga @PA Link basi)

Mwambie Bebii aje bana naona ananirusha roho tuu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…