- Thread starter
- #21
Sisi tumeajiri kampuni ya accountancy tena kubwa kabisa kushughulikia kampuni yetu. Wao ndio wametuambia kwa mfumo huu wa sasa hakuna ujanja.Mkuu. Mfumo uko sawa. Tatizo hutaki kuajiri wataalam wakusaidie kwenye maswala ya uhasibu na kodi.
Tafuta
Finance Manager mwenye CPA
Pia uchumi unaruhusu ajiri mtu aliyesomea mambo ya Tax management.
Wataalam wako kibao ila ndio hampendi kuwatumia.
Kama huna receipts za VAT huwezi kufanya lolote. Ni kama ujambazi vile. Solution ufanye mauzo bila VAT. Sisi biashara yetu kubwa ni mashirika lazima utoe Receipts.